Moja ya malengo ya watu wengi kila unapoanza mwaka mpya ni kupunguza uzito wa mwilli,mafuta mwilini,ubonge nyanya,ukibonge manyama uzembe ,UTIPWA TIPWA,UKIPIPA ,U BIG, Ushangazi,limshangazi,ujomba kitambi.amaa KITUMBOO.
Wengi wamepoteza maisha kupitia kutumia dawa za mitishamba...