Dawa ya lipsi(lips) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dawa ya lipsi(lips)

Discussion in 'JF Doctor' started by G spanner, Jun 20, 2011.

 1. G spanner

  G spanner JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hallo wajumbe samahanini naombeni kufahamishwa nifanyaje ili kuziweka lips katika hali ya kawaida kwani kwa sasa niko Iringa kuna baridi na upepo kila mara lips zinababuka nakuwa nyeupe nimejaribu kupaka mafuta ya mgando au mafuta spesho ya lips yanadumu kwa muda mfupi hali inajirudia hivyo nalazimika kulamba lips zangu mara kwa mara je jambo lipi laweza saidia?
   
 2. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Tungoje wataalamu
   
 3. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Tumia colorless lip gloss mara kwa mara, usingoje mpaka lips zikauke ndiyo utumie..
  Au kuwa unapaka mafuta ya mgando (baby care, vaselline etc) mara kwa mara..
   
 4. Mayasa

  Mayasa JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 587
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kama wewe ni mwanaume tumia LABELLO lip balm, yenyewe huwa haing'ai. Ila kama mwanamke tumia lip gloss yoyote. Hakikisha unatembea nayo mfukoni, na uipake kila wakati unapohisi mdomo umekauka. Huwa hakuna lipshine inayodumu kwa siku nzima hata kama hujala chochote tangu uipake. Kwa hiyo usichoke kuipaka kila saa unapohisi mdomo umekauka. Hata vaseline inafaa kama unashindwa kupata hizo lipbalm.
   
 5. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #5
  Jun 21, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  angalia pia afya ya ngozi yako. kula matunda na jitahidi unywe maji japokuwa kuna baridi. kulamba lips kila wakati inaharibu lips zaidi manake unachukua unyevunyevu wa asili. kuna lip balm za vaseline for healing,zinapatikana supermarkt. pole,tahadhari,usinyofoe magamba ndo unaharibu zaidi na ku-expose layer za chini ambazo hazijadhurika
   
 6. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #6
  Jun 21, 2011
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,672
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  usilambe mate yanaharibu kabisa...tumia izo vitu wadau walivosema
   
 7. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #7
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,135
  Likes Received: 6,630
  Trophy Points: 280
  Mi ningemshauri atumie vaseline blueseal, kama ni wa 47 kama mimi la sivyo wasome dot com wenzio.
   
 8. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #8
  Jun 23, 2011
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Ushauri umejitosheleza.
   
 9. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #9
  Jun 23, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  je mafuta mazito ambayo sio maalum kwa lips hayawezi kukudhuru yanapoingia ndani ya kinywa chako na hatimaye tumboni?
   
Loading...