Sawa mkuu, ngoja atumie hizi nilizopata ushauri kwanza then kama bado nitakucheki kwa msaada wa option nyingine.Dah umenikumbusha nshawah kuuziwa hizo Dawa ya asili na Dada mmoja pale Feri ,niliharisha sanaaa haijawah kutokea ktk maisha yangu ,ile ni kama historia kwangu . Nicheck DM nikupe Namba yake yule dada
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu, ngoja atumie hizi nilizopata ushauri kwanza then kama bado nitakucheki kwa msaada wa option nyingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Atafute kati yafuatayo.
1.Mafuta ya mbono/mnyonyo/castor oil, achange ya kutosh kwenye maji glasa moja. Aweke vijiko hata vitatu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaa alifanikiwa, ipo kwenye maduka yote ya dawa za binadam, unatumia kifuniko kimoja tu kwa siku baada ya kama nusu saa habari yake utaielewa.Alifanikiwa. Huyo Castor oil inapatinana mafuka ya aina gani nikachukue. Unaitumiaje.
Atumie castor oil ya kutosha..... hiyo itazibua faster.... ipo kwenye maduka ya madawa....
Sent using Jamii Forums mobile app
Atafute kati yafuatayo.
1.Mafuta ya mbono/mnyonyo/castor oil, achange ya kutosh kwenye maji glasa moja. Aweke vijiko hata vitatu
Akion anaendesha sana, apige glass ya maji baridi, kupunguza kasi
Hongera sana. Do twice au thrice a weekKaka asante. jana usiku nimekunywa vijiko vinne vya Castor Oil.
Nimeharisha aisee, mavi yanatoka meusi kishenz, baadae maji tupuu...
Kala nielekeze hii Castor oil inapatikana wapi, bei zake labda na naiweka kwenye maji moto, vuguvugu ama baridi.
Nisaidieni tumbo limejaa
Kaka habari. Umesema castor oil inapatikana maduka ya dawa.. Yaani hizi Pharmacy? Ndio haya wadada wanatumia kurefusha nywele?
Nimeona kuna meusi na kijani.. Ni yapi yanafaa kwa ajili ya kunywa kaka?
Nataka niende pharmacy sasa hivi
Hahaa....kama umeona hvii hata mm nilitaka nim Pm ss hv......au kama vp aweke waz hapa wana jukwaa tuijuue kuboresha afya zetu
Asante. Unaweka sukari?Nunua Ukwaju Kilogram 1
Tengeneza Juice Ila Iwe Nzito Sana Kunywa Glass 3
Ukae Jirani Na Maliwato
HapanaAsante. Unaweka sukari?
Mi mbona iligomagaAtumie castor oil ya kutosha. hiyo itazibua faster. Ipo kwenye maduka ya madawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee nawez nikapat nmb yk hyo dadaDah umenikumbusha nshawah kuuziwa hizo Dawa ya asili na Dada mmoja pale Feri ,niliharisha sanaaa haijawah kutokea ktk maisha yangu ,ile ni kama historia kwangu . Nicheck DM nikupe Namba yake yule dada
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na yoote, ni vizuri kujua kwa nini hapati cho kwa kadri. Hii itasaidia kutatua tatizo. Kumwona mtaalamu wa afya ili kujua yanayomsibu ni muhimu.Salaam wakuu,
Hivi kuna dawa yoyote ya kusafisha tumbo/ kusababisha kuharisha? Jirani yangu ameniomba nimshauri lkn nikatoka kapa, anadai anapata choo kwa taabu sana, nimemshauri anywe magnesium ila sina hakika kama zinasaidia. Masaada tafadhali. Nia anataka dawa itakayomsaidia kuharisha sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anakula vyakula vigumu Sana na anywi maji ya kutoshaPamoja na yoote, ni vizuri kujua kwa nini hapati cho kwa kadri. Hii itasaidia kutatua tatizo. Kumwona mtaalamu wa afya ili kujua yanayomsibu ni muhimu.