Dawa ya kusafisha tumbo

Nunua Ukwaju Kilogram 1
Tengeneza Juice Ila Iwe Nzito Sana Kunywa Glass 3
Ukae Jirani Na Maliwato
 
Atagute ile dawa ya wamasai ndio balaa maana yatamtoka yote mauchafu ya tumboni!
 
Dah umenikumbusha nshawah kuuziwa hizo Dawa ya asili na Dada mmoja pale Feri ,niliharisha sanaaa haijawah kutokea ktk maisha yangu ,ile ni kama historia kwangu . Nicheck DM nikupe Namba yake yule dada

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu, ngoja atumie hizi nilizopata ushauri kwanza then kama bado nitakucheki kwa msaada wa option nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atumie castor oil ya kutosha..... hiyo itazibua faster.... ipo kwenye maduka ya madawa....

Sent using Jamii Forums mobile app

Kaka habari. Umesema castor oil inapatikana maduka ya dawa.. Yaani hizi Pharmacy? Ndio haya wadada wanatumia kurefusha nywele?

Nimeona kuna meusi na kijani.. Ni yapi yanafaa kwa ajili ya kunywa kaka?
Nataka niende pharmacy sasa hivi
 
Atafute kati yafuatayo.

1.Mafuta ya mbono/mnyonyo/castor oil, achange ya kutosh kwenye maji glasa moja. Aweke vijiko hata vitatu
Akion anaendesha sana, apige glass ya maji baridi, kupunguza kasi

Kaka asante. jana usiku nimekunywa vijiko vinne vya Castor Oil.
Nimeharisha aisee, mavi yanatoka meusi kishenz, baadae maji tupuu...
 
Kala nielekeze hii Castor oil inapatikana wapi, bei zake labda na naiweka kwenye maji moto, vuguvugu ama baridi.
Nisaidieni tumbo limejaa

Pharmacy wanauza elfu moja au elfu mbili lakini Ina harufu mbaya kama unywe petrol
 
Kaka habari. Umesema castor oil inapatikana maduka ya dawa.. Yaani hizi Pharmacy? Ndio haya wadada wanatumia kurefusha nywele?

Nimeona kuna meusi na kijani.. Ni yapi yanafaa kwa ajili ya kunywa kaka?
Nataka niende pharmacy sasa hivi

Hapana Nenda pharmacy nunua ya kunywa kwa ajili ya kupata choo

husitumie yale ya nywele
 
Tafuta Vidonge vinaitwa Bisacodyl yani faster tu...!! Castor oil nayo ipo poa sema inaleta kichefu chefu sana pia Effect yake ni nomaaa yanii kuhara sio kuharaaa balaaa
 
Salaam wakuu,

Hivi kuna dawa yoyote ya kusafisha tumbo/ kusababisha kuharisha? Jirani yangu ameniomba nimshauri lkn nikatoka kapa, anadai anapata choo kwa taabu sana, nimemshauri anywe magnesium ila sina hakika kama zinasaidia. Masaada tafadhali. Nia anataka dawa itakayomsaidia kuharisha sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na yoote, ni vizuri kujua kwa nini hapati cho kwa kadri. Hii itasaidia kutatua tatizo. Kumwona mtaalamu wa afya ili kujua yanayomsibu ni muhimu.
 
Back
Top Bottom