Mr Devil
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 14,917
- 34,458
Maombi yako yameishia njiani hauna iman thabitišNaombea mleta mada awe mwanamke
Maombi yako yameishia njiani hauna iman thabitišNaombea mleta mada awe mwanamke
Magic Powder nilitumia, ilinichoma ngozi au niseme ni allergy, nikaiacha. Jamaa mmoja ndiyo akanielekeza hiyo cream "Nair". Nimeitumia sana iko fresh ila kwa sasa naitafuta maduka mengi nmeikosa.Kama unataka kuondoa ndevu temporary bila kunyoa zipo cream za kuondoa unapaka baada ya muda ndevu zinatoka kinabaki kipara pia magic shaving powder hii hakuna kinyozi asiyeijua!
Kama unataka kuondoa ndevu permanently njia pekee "laser hair removal" andika hayo maneno AliExpress utaona utaagiza.
Nasikitika kukwambia kuwa maombi yako hayajafanikiwa. Pole jarb tena wakati mwingine. JF huduma kwa watejaNaombea mleta mada awe mwanamke
Mimi nikipaka hayo madude baada ya kunyoa kifuatacho hapo ni ITVZipo after shave ambazo zinatibu hilo tatizo mkuu
Nilijaribu kadhaa zikagoma, hiyo ilikubali. Ila kabla sijatafuta brand nyingine, najaribu kuipata tena hii.Zipo after shave ambazo zinatibu hilo tatizo mkuu
Sasa unahitaji temporary au permanent hair removal?Magic Powder nilitumia, ilinichoma ngozi au niseme ni allergy, nikaiacha. Jamaa mmoja ndiyo akanielekeza hiyo cream "Nair". Nimeitumia sana iko fresh ila kwa sasa naitafuta maduka mengi nmeikosa.
Magic niliitumia, nafikiri ilikuwa na reaction mbaya na ngozi, namna kama allergy hivi. NikaiachaKuna dawa inaitwa MAGIC itafute iko vizuri
Kuondoa vipeleNaona neno "Hair Removal" limeshtua.
Moderator niondolee hilo neno, libaki "Dawa ya kuondoa ndevu" au namna yoyote ikae sawa
Temporary removal.Sasa unahitaji temporary au permanent hair removal?
Temporary removal.
Nunua mashine yako mwenyewe mkuu, shaving cream na powder uwe unajinyoa mwenyewe,niliona oraimo wana mashine nzuri sana za kunyolea na ni bei chee sana na ni rechargeable.Shida nikinyoa saluni natoka upele, baada vinakuwa vidonda. Ndo maana natafuta hii dawa
Hii niliiona duka moja ila sikuizingatia sana japo jamaa mwenye duka alishauri. Shukrani kwa mapendekezo, nitairudia nikaichukue.View attachment 3466440
Ulizia hiyo hapo blue valley hair removal cream haigiki hata 5000 kwenye maduka ya vipodozi ukikosa mtaa nenda karia koo mitaa ya msimbazi au mchikichi hukosi hata kwa rejareja wanauza ukiona na hiyo imekudhuru unachotakiwa kufuga ndevu na utakuwa unafanya trimming tu tofauti na hapo sina ushauri mwingine
Poa mkuu. Nimepitia haraka haraka mtandaoni naona smart shaver 2 iko poa. Nitaiongeza na hiyoNunua mashine yako mwenyewe mkuu, shaving cream na powder uwe unajinyoa mwenyewe,niliona oraimo wana mashine nzuri sana za kunyolea na ni bei chee sana na ni rechargeable.
Kwako iko vyema. Kwangu nikinyoa basi nikipulizia perfume angalau inasaidia kidogo. Tofauti na hapo ni majanga tu.Msimlaumu mtoa mada unyoaji wa ndevu una complications nyingi mimi nikinyoa ndevu sharti kuu sipaki dawa yoyote baada ya kunyoa labda mafuta tu .