toplemon
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 4,581
- 4,626
Nisaidieni hii ni ipi nzuri ya kupaka kuondoa nywele kwenye kwapa au ndevu,maana biashara za kunyoa kwapa na shaver nishazichoka
Ni ipi hair remover nzuri?
Bei jee?
Nipo serious maana kuna duka nilienda muuzaji nikimuuliza hata haeleweki
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ipi hair remover nzuri?
Bei jee?
Nipo serious maana kuna duka nilienda muuzaji nikimuuliza hata haeleweki
Sent using Jamii Forums mobile app