Extroverted Introvert
JF-Expert Member
- Aug 18, 2022
- 859
- 2,118
Nahitaji hii dawa kwa kuondolea ndevu (Nair Hair Removal). Nimeitafuta kwenye maduka mengi sana ila nimeikosa. Mara ya mwisho niliipata supermarket moja ila kwa sasa nimerudi kuinunua sijaikuta. Nimepita supermarket za posta, napo huko nimeikosa. Kariakoo kwenye maduka makubwa na madogo ya vipodozi, nimeikosa pia.
Mwenye kufahamu naweza kuipata wapi, anisaidie. Ikishindikana kabisa basi naomba kujuzwa dawa ya kunyolea ndevu ambayo inazuia upele na uweusi.
Mwenye kufahamu naweza kuipata wapi, anisaidie. Ikishindikana kabisa basi naomba kujuzwa dawa ya kunyolea ndevu ambayo inazuia upele na uweusi.