Dawa ya ebola inatibu wagonjwa Marekani tu

Dawa ya ebola inatibu wagonjwa Marekani tu

Marekani huwapa volunteers wao wanaokuja nchini Chanjo ambayo inadumaza kwa kiwango kikubwa uwezo wa virusi Vya UKIMWI kuwaaambukiza
 
Nashangaa watu kusema Ebola hauna dawa wakati watu wanatibiwa na kupona Marekani.
 
Ata apa pia wanapona
 
Attachments

  • 1414266127734.jpg
    1414266127734.jpg
    54.6 KB · Views: 159
Kuna watu wana bahati ndugu yangu, hao waliopona ni kati ya watu wenye bahati...

Bahati??? What kind of luck are talking over here???? Why cant you use your eyes DVC!!! He asked you why liberians are suffering to death and at the same time few Americans are cured???!!
 
WAnawekewa damu ya waliopona ebola amambayo tayari ina antbodies wa ebola ndo maana wanapona,ile damu inakuwa na kinga
 
kuna bibi alipona na sasa anahudumia wagonjwa kwa kuwa hawezi kuugua tena.

familia yake ya watu 11 iliangamia yote.

hao wamarekani wa kwanza alitibiwa kwa dawa ya majaribio maana ilikuwa haijaidhinishwa rasimi kwa kuwa ilikuwa hatua za awali.

na wengi wapo wamepona sema hufatilii sawasawa.

pia mimi nahisi hii ni western biological propaganda kwa ajili ya kuiendesha afrika.

hii hofu inayotengenezwa inatuondolea kabisa uhuru wetu na kutufanya tuwategemee hawa jamaa na hapo ndo wanakuwa karibu na sisi kama marafiki kumbe ni majambazi yaleyale ya siku zote

Na ukitaka kujua hawa jamaa wanatuchezea, Obama katuma wanajeshi kupambana na Ebola. Pamoja na ukweli kwamba US Army ina wataalamu wa fani zote, lakini hili linatia shaka. Ukute hao US Army soldiers waliopelekwa wote ni under cover, CIA fully.
 
Wazungu hawatupendi waa frica ndomana wanatuangamiza dawa wanayo ila wanafanya makusudi ila china imeahidi kujenga kituo kikubwa chaafya africa maghalibi labda watatusaidia kutoa dawa wachina

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Per WHO watu walioambukizwa ebola ni zaidi ya 9000 na waliokufa ni kama 4000 sina exact namba ila ukigogle utazipata kwa hiyo kuna watu zaidi ya 4000 wamepona. Huko west africa kuna wanaopona ebola goggle utawaona hadi picha zao cnn wana article moja imewatoa wanaongea ambavyo jamii inawatenga baada ya kuugua na kupona ebola. Mimi sio docta ila ebola ni virus na sijui kama kuna dawa ya kutibu virus..ingekuwa ni bacteria yes ila virus is another animal. Haya tuje kwa Duncan kwanza walichelewa kumgundua ana ebola..kupona ebola ikigunduliwa mapema ndo vizuri pili hakupewa hata hizo trial meds sijui kwa nini my guess ni ile hospital aliyokuwepo. Kila mgonjwa alietibiwa na kupona ebola marekani katibiwa kwenye special hospital za kudeal na magonjwa hayo hata yule nurse alihamishwa ile hosp aliyokufa duncan akapelekwa maryland na yule nurse hakupewa any trial meds at texas hosp ila alipewa damu ya mgonjwa aliepona ebola..wanasema antibodies zinasaidia..again duncan wakasema damu yake haikumatch...so to be honest yes hamna dawa ya ebola na waliopona west africa na marekani ni miili yao ilipambana ikamshimda virus etc...west africa sasa hivi wana damu kibao za ebola survivor ambazo zinaweza kuchukuliwa na kupewa wagonjwa wa ebola wakapona sema hawana hivyo vifaaa manake kwa jinsi nilivyosoma hiyo damu inachkuliwa wana extract those antibodies na utaalamu huo west africa hawana hata hivyo wamejitahidi kwa hao waliopona..hydrating wagonjwa na wengine wamepona hadi kwa arv...kusema kwamba only wagonjwa wa ebola marekani wanapona sio kweli.....sorry nimeandika kivivu no paragraps no nothing i know spare me ur lectures about my writing skills i did it lazyly its a lazy satoooo yooo
 
Sio bahati mkuu ni njama za hao watu weupe kutumaliza na kujinufaisha wao kiuchumi

Lakini mbona njia wanayotumia kutumaliza ni ya kijinga hivyo!? strategy ya kichovu kabisa kiasi kwamba inaweza ikawamaliza hata wao wenyewe...
 
Bahati??? What kind of luck are talking over here???? Why cant you use your eyes DVC!!! He asked you why liberians are suffering to death and at the same time few Americans are cured???!!

Nimeona pia na kwenye huu uzi wanasema na waliberia wanapona na wenyewe... labda inategemeana na watu... inawezekana pia Ebola labda ikawa inabagua...
 
Bahati??? What kind of luck are talking over here???? Why cant you use your eyes DVC!!! He asked you why liberians are suffering to death and at the same time few Americans are cured???!!

Badala ya sisi waafrika kulia lia kuhusu waamerika na sisi si tuko na akili tutafute dawa zetu zitibu watu wetu. Kwa nini tuwategemee waamerika kwani wao ni baba zetu? Acha watibu raia wao hatuwezi kuwalaumu ni haki yao na sisi serikali zetu ziwe responsible kwa raia wao.
 
Wazungu hawatupendi waa frica ndomana wanatuangamiza dawa wanayo ila wanafanya makusudi ila china imeahidi kujenga kituo kikubwa chaafya africa maghalibi labda watatusaidia kutoa dawa wachina

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Kwa hiyo mchina anapenda waafrika? Kwa taarifa yako hakuna taifa lolote duniani linalopenda afrika tutafute solution kwa matatizo yetu bila kutegemea msaada kwa mchina, mzungu, mhindi wala muarabu. Hii misaada ndio inatufanya tunazidi kudharaulika duniani no wonder tunarushiwaga ndizi halafu tunjiuliza why?
 
Badala ya sisi waafrika kulia lia kuhusu waamerika na sisi si tuko na akili tutafute dawa zetu zitibu watu wetu. Kwa nini tuwategemee waamerika kwani wao ni baba zetu? Acha watibu raia wao hatuwezi kuwalaumu ni haki yao na sisi serikali zetu ziwe responsible kwa raia wao.
Lakini kuna watu wanasema hao western ndio wameleta huo ugonjwa huku kwetu!!!
 
Hiyo ya kuuleta ugonjwa kwa kweli sijui ila ebola iko kwenye mabundi na wala haiwadhuru mabundi wanasema hao bundi wakila matunda wanaacha mate yao yenye ebola halafu nyani wanayala matunda hayo na ndoo maana nyani wanapata ebola. Ebola pia haimdhuru nyani ila ikifika kwa binadamu inakuwa kimbembe...zaire wanakula nyani na ndo maana zamabi zile ebola iliibuka zaire. Wenzetu wawest africa na wenyewe wanakula nyani na ndo maana imeibuka kwao. Sio nyani wote wana ebola ila inapotokea nyani ana ebola na wao wanavyomchinja wanakutana na madamu yake ndo inalipuka hapo...
 
Back
Top Bottom