Davis Elisa Mosha ni nani?

Lengeri

Senior Member
Jul 3, 2009
180
13
Davis Elisa Mosha, kijana kutoka familia ya kipato cha kawaida. Mzaliwa wa Kiborloni Moshi.
Davis Mosha historia yake inaonyesha hakupata elimu kubwa (aliishia form four). kazi ya mwanzo ilikuwa mjaza mafuta pale Chalinze kwenye Filling Station ambayo leo anaimiliki

Davis Mosha kwa sasa ni miongoni mwa vijana wenye utajiri mkubwa sana hapa Bongo... ni ukweli usiofichika ni vigumu kuueleza namna alivyoupata hata yeye mwenyewe inamshinda...

Je wadau huyu Davis Mosha ni nani?? Wasifu wake?? MAfanikio yake

Lengeri
 
Wambandwa

JF-Expert Member
Dec 3, 2006
2,251
818
Huyu jamaa kawa tajiri mno kwa kuwa karibu na familia ya Jk. Ametumia influence hiyo vuzuri, au kwa kifupi ni kama alivyopata utajiri Kasena, na hana record ya "crime".
 
Akiri

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,445
209
Bill Gates ni college drop-out pia................
sawa jamaa hapo juu haongelei shule. na huyo bill gate uliyemtaja leo ukimuuliza huwa anaeleza ni jinsi gani alimepata utajiri na hajawahi kwepa kodi, hivi kweli huyo mosha anaweza kuzungumza hadharani pasipo kujig'atag'ata namna alilvyopata utajiri? hawezi utasikia tu ooh yupo karibu na riz 1 , hakuna hadithi inayoeleweka, huyo ridhiwani kamaliza chuo juzi tu leo anautajiri wa kutisha. msitufanye wajinga
 
Lengeri

Senior Member
Jul 3, 2009
180
13
Huyu jamaa kawa tajiri mno kwa kuwa karibu na familia ya Jk. Ametumia influence hiyo vuzuri, au kwa kifupi ni kama alivyopata utajiri Kasena, na hana record ya "crime".

Yawezekana utajiri wake umeongezeka baada ya kuwa karibu na familia ya Kikwete... huyu jamaa amekuwa tajiri kabla Kikwete hajaingia madarakan... enzi za TIOT na kina Barobhou na mashindano yao ya magari kule Iringa... hakika asili ya utajir wake inaweka mashaka ya "no crime record"

Lengeri
 
Lengeri

Senior Member
Jul 3, 2009
180
13
Avatar yako inaionyesha wewe ni mtu wa aina gani....inawezekana kabisa unamjua Davis mosha vizuri sana...lakini waulize wakina Ngiloi,Jakaya,Msoolwa na wenzie.........ila davis wa zamani si wa sasa...they are the Old Kilimanjaro Mafia....

Thanks Mkuu Maisha Popote kwa hints... Ngiloi and the co inahitaji uzi mwingne kuwachambua....Kili boyz Mafia indeed
 
Ringo Edmund

JF-Expert Member
May 10, 2010
4,882
1,124
Tulikulia mtaa mmoja ila sijawahi kumuona tangu 1985.wala sina ninachojua kuhusu yeye alikuwa na mdgo wake justin sijui nae yupo wapi siku hizi yeye ndo alikuwa rafiki yangu.
 
serious1

Member
Jul 5, 2011
40
10
nakumbuka jamaa alikua wa kwanza kujenga gorofa pale kiboroloni-mnazi mmoja anapokaa.ni miaka ya 1999 hivi kama sikosei niliona icho kiota kwa mara ya kwanza..anakaa jirani sana na nyumbani kwa marehemu Mowo yule mmiliki wa Mzalendo Pub...jamaa ni tajiri siku nyingi sana thats what i can say..ila anaendeleaje now sifahamu as its none of my business under my TZ 11
 
Lengeri

Senior Member
Jul 3, 2009
180
13
mtakufa kwa presha nyie kwa kufikiria mtu fulani kapata wapi utajiri, wenzenu wana password ya jinsi ya kuwa tajiri.

hahah mkuu don't take it personal.... Bongo matajiri wengi utajiri wao wa mashaka sana umejaa damu za watu...

hawa matajiri wanakimbilia siasa kujisafisha.... 2010 Davies alikuwa kwenye mkondo wa kugombea Ubunge Moshi Mjini....amini yupo kwenye harakati za kurudi 2015...

Lengeri
 
Lengeri

Senior Member
Jul 3, 2009
180
13
By the way davis ninachompendea ni kile cha kumfundisha mkuu wa kaya ujanja wa mjini...kula bata and so on akiwa waziri wa mambo ya nje...now adays In moshi Davis nae anaheshimika kama watoto wa mjini wanavyoheshimika akirudi Dec...i mean ana hadhi kama Ngiloi,Curthbert Swai,James Sheli,Bob Sambeke na wengine wengi.....ila sikubaliani na mdau aliesema hana criminal background..atuulize sisi tunaemjua

Vipi uhusiano wake na mama Anna Mkapa na wale jamaa wa malori ya Jah People... Kili boyz Mafia

Lengeri
 
maishapopote

JF-Expert Member
May 28, 2009
2,655
3,252
Vipi uhusiano wake na mama Anna Mkapa na wale jamaa wa malori ya Jah People... Kili boyz Mafia

Lengeri
Mkuu mama pia kamsaidia sana.....je unamkumbuka Marehemu Frank Lyatuu......Thats his man! Mkuu wa kaya nakumbuka baada ya kuingia madarakani alimpa scania mbili jamaa na kumtema...
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
42,677
93,630
Davis Elisa Mosha, kijana kutoka familia ya kipato cha kawaida. Mzaliwa wa Kiborloni Moshi.
Davis Mosha historia yake inaonyesha hakupata elimu kubwa (aliishia form four). kazi ya mwanzo ilikuwa mjaza mafuta pale Chalinze kwenye Filling Station ambayo leo anaimiliki

Davis Mosha kwa sasa ni miongoni mwa vijana wenye utajiri mkubwa sana hapa Bongo... ni ukweli usiofichika ni vigumu kuueleza namna alivyoupata hata yeye mwenyewe inamshinda...

Je wadau huyu Davis Mosha ni nani?? Wasifu wake?? MAfanikio yake

Lengeri
Lengeri, tafadhali acha umbea!. JF is meant to be the home of great thinkers sio kijiwe cha umbea nani kala nini, kavaa nini na kapata wapi fedha!. Mbona kuna vijana wengi tuu wenapesa nene na hamuwaulizii?. Why Davis!.

Najua vijana wa MS mnababaika sana anavyobadili magari ya bei mbaya na ile mijengo yake ya kufa mtu hivyo mnauliza ili mwisho wa siku mwite mwizi!.
 
mfianchi

Platinum Member
Jul 1, 2009
11,285
7,304
Ni pedeshee wa mujini kama walivyo akina Young millionea (Muzamil Katunzi),Chuma cha reli (Msofe),Balhabou(mzee wa dubai).Kusena(kijana wa UDA),Hassanol(kijana wa shaba)
 
Wambandwa

JF-Expert Member
Dec 3, 2006
2,251
818
Yawezekana utajiri wake umeongezeka baada ya kuwa karibu na familia ya Kikwete... huyu jamaa amekuwa tajiri kabla Kikwete hajaingia madarakan... enzi za TIOT na kina Barobhou na mashindano yao ya magari kule Iringa... hakika asili ya utajir wake inaweka mashaka ya "no crime record"

Lengeri

Nasisitiza, Davis Mosha siyo criminal as far as his current business is concerned! Ni mpenda michezo, na ana mlkono wa biashara. Ukitaka kujua yote haya nenda kwa mentor wake (ni mjomba wake huyu, ana jina la utani la 'mbwa haruki) yuko Kibaha picha ya ndege. Na hiyo petrol station aliyokuwa anafanyia ni ya huyo mjomba.
 
Wambandwa

JF-Expert Member
Dec 3, 2006
2,251
818
Tulikulia mtaa mmoja ila sijawahi kumuona tangu 1985.wala sina ninachojua kuhusu yeye alikuwa na mdgo wake justin sijui nae yupo wapi siku hizi yeye ndo alikuwa rafiki yangu.

Nenda Msaranga, au uliza pale Kiborloni nani asiyejua aliyemtoa Davis Mosha kiakili, Davis asingekuja Chalinze kama si huyo mjomba wake na Davis ana kubali hilo. Uchangamfu wa Davis ukamkutanisha na familia ya JK, na ametumia uhusiano huo vizuri.
The man is not political ambitious neither nor criminal or popularity, yuko busy na biashara zake, hata mkimgusa ana clean record of accounts.
 
Mkatavimeo

JF-Expert Member
Jan 3, 2011
2,152
857
Duh! Mbona hapa naona kama kuna chembe chembe za chuki binafsi?? Matajiri vijana mbona ni wengi tu, na hamuwajadili humu??
 
Lengeri

Senior Member
Jul 3, 2009
180
13
Lengeri, tafadhali acha umbea!. JF is meant to be the home of great thinkers sio kijiwe cha umbea nani kala nini, kavaa nini na kapata wapi fedha!. Mbona kuna vijana wengi tuu wenapesa nene na hamuwaulizii?. Why Davis!.

Najua vijana wa MS mnababaika sana anavyobadili magari ya bei mbaya na ile mijengo yake ya kufa mtu hivyo mnauliza ili mwisho wa siku mwite mwizi!.

Mkuu Pasco Punguza Haraka.... hivi upo forum gani vileeeeeeeeeee...

[h=1]Forum: Celebrities Forum[/h]Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa: Rais, Mawaziri, Wabunge, Wafanyabiashara wakubwa n.k (Public Figures in general) The right place for celebrity enthusiast!

Lengeri
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom