King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,341
- 88,511
Davis Elisa Mosha, kijana kutoka familia ya kipato cha kawaida. Mzaliwa wa Kiborloni Moshi.
Davis Mosha historia yake inaonyesha hakupata elimu kubwa (aliishia form four). kazi ya mwanzo ilikuwa mjaza mafuta pale Chalinze kwenye Filling Station ambayo leo anaimiliki
Davis Mosha kwa sasa ni miongoni mwa vijana wenye utajiri mkubwa sana hapa Bongo... ni ukweli usiofichika ni vigumu kuueleza namna alivyoupata hata yeye mwenyewe inamshinda...
Je wadau huyu Davis Mosha ni nani?? Wasifu wake?? MAfanikio yake
Lengeri
Le grande Mopao ,Mutu ya Pakee ,mutu ya mbongo ,iko na mchele kama ote!! Delina Group Apartment ,mutu ya pili kutembelea lambogini kwa TZ...service ya gari yake ununua Anaconda na IST kama kifungashio.