David Mataka kizimbani

David Mataka kizimbani

MJIMPYA

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
506
Reaction score
273
MKURUGENZI WA ZAMANI WA SHIRIKA LA NDEGE TANZANIA (ATCL),DAVID MATAKA LEO ASUBUHI AMEFIKISHWA KATIKA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU JIJINI DAR ES SALAAM.

MBELE YA HAKIMU TARIMO AKIKABILIWA NA MASHTAKA MATATU LIKIWEMO LA KUSHINDWA KUTOA TAARIFA SAHIHI KUHUSU MATUMIZI YA VITU MBALI MBALI VYA SHIRIKA HILO.

Source; Michuzi blog
 
Mataka pamoja na wenzake 3. Kwa matumizi mabaya ya ofisi. Tuone hii nayo itabinuka vipi
 
Wamewaacha wakatafuna shirka letu la ndege hadi karibia kufilisika sasa leo ndio tunadanganywa na kesi za Kisutu?
Huu nao ni usanii mwingine! Hivi ulisikia wapi postmorterm ikamrejesha marehemu?
 
Wamewaacha wakatafuna shirka letu la ndege hadi karibia kufilisika sasa leo ndio tunadanganywa na kesi za Kisutu?
Huu nao ni usanii mwingine! Hivi ulisikia wapi postmorterm ikamrejesha marehemu?

You're Right, wameacha katafuna ka mchwa, kaliua shirika leo ndo wanaibuka, hii nchi haiishi maigizo. period.
 
MKURUGENZI WA ZAMANI WA SHIRIKA LA NDEGE TANZANIA (ATCL),DAVID MATAKA LEO ASUBUHI AMEFIKISHWA KATIKA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU JIJINI DAR ES SALAAM.

MBELE YA HAKIMU TARIMO AKIKABILIWA NA MASHTAKA MATATU LIKIWEMO LA KUSHINDWA KUTOA TAARIFA SAHIHI KUHUSU MATUMIZI YA VITU MBALI MBALI VYA SHIRIKA HILO.

Source; Michuzi blog

Kwenye red:
Shirika halikuwa na kurugenzi ya fedha na utawala?
 
Huyo Mataka kila shirika alilokaa ameua nadhani sasa anaelekea kuua his own family
 
le generale def defao hana hamu nae atii

na humu mjini kawaumiza majamaa
lukuki
natamani kesi impeleka segerea
ndo watamlipizia kisasi kulee

Duh kumbe ni kweli ndo kazi yake ku Camerun wenzake? duh noumer!
 
duh..naona message yangu imeyeyuka hapa...halafu tunamlalamikia Shamsi Vuai Nahodha kwa kutunyima uhuru wa kuandamana...!
 
Back
Top Bottom