Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,711
- 1,914
Nyie watu achaumbulula Serikari ni mali ya watu, watu sio misukule ya Serikali, hawawezi kuibia taifa eti nyie mnatetea ujinga na ufisadi??
Nawashangaa mlivyo jazana kutetea majizi!!
Nyie WaTZ au majambazi oneni aibu basi, taifa linazama kwa wizi!!
Nawashangaa mlivyo jazana kutetea majizi!!
Nyie WaTZ au majambazi oneni aibu basi, taifa linazama kwa wizi!!