David Kafulila: Nchi imewekwa mfukoni na singasinga mmoja

David Kafulila: Nchi imewekwa mfukoni na singasinga mmoja

Akichangia jioni ya leo katika makadilio ya mapato na matumizi ya bajeti ya wizara ya maji, amesema tatizo ka serikali hii ya CCM ni serikali ambayo imewekwa mfukoni na singasinga mmoja.

"Mtu mmoja analipwa bilioni tano kwa mwezi, azalishe au asizalishe umeme wakati mradi wa maji jimboni kwangu unahitaji shilingi milioni mia nne, tukisema serikali hii ya CCM imewekwa mfukoni na singasinga mmoja mnakataa. "
CCM na Serikali yake ni wakubwa kuliko yoyote...ni swala la muda tu...mtaelewa
 
Back
Top Bottom