David Kafulila: Nchi imewekwa mfukoni na singasinga mmoja

David Kafulila: Nchi imewekwa mfukoni na singasinga mmoja

Kafulila alistahili ile tuzo tatizo huwa akichangia muda unaisha haraka sana
 
Serekali ya jk ndio inaongoza kwa kuibiwa pesa nyingi sana
 
Serekali ya jk ndio inaongoza kwa kuibiwa pesa nyingi sana

ndo hapa nawapima akili zenu naona mmepungua, nyie mnasema iko mfukoni afu hapa unasema inaongoza kuibiwa pesa nyingi ,itaibiwaje au mnachangia msichokijua?
 
Kafulila alistahili ile tuzo tatizo huwa akichangia muda unaisha haraka sana

Ndo ujue kuna watu nyuma yake wanakuwanwanampa ajenda anajikuta kapoteza mwelekeo!mara mnamwita tumbiri, mara nabii asiyekubarika kwao nyie vipi?
 
Kuna wakati dkt slaa alipiga kelele na kuwataja mafisadi kwa majina. Nikamsikiliza mwenyewe kwenye viwanja vya nmc arusha akiwataja mafisadi 11, bila shaka alifanya hivyo sehemu mbalimbali kwenye mikutano ya hadhara. Alikuwa na nyaraka kibao mkonon za ufisadi. Akitaja deep green, kagoda,meremeta, n.k. wakati huo waziri wa hazina mama meghji akionekana kusign nyaraka hizo na katibu mkuu wa hazina grey mgonja na gavana daud balali. Licha ya grey mgonja kutishia kumshtaki slaa lakini hakufanya hivyo. Wabongo tukaendelea na maisha na hayo yakawa hadithi ya sungura na fisi. Business as usual. Hivi watz ni nani aliyetuloga?? Kuna wakati ktk historia ya biblia waisraeli walipata taabu sana kule misri kwa kuwa hawakuwa na kiongozi wa kuwatetea. Mungu akamwinua musa baada ya kilio chao. Watz tunahitaji mungu atuinulie musa wa kutuokoa dhidi ya magamba. Amen.
 
Dogo kazoea kutukana ndo maana mafanikio yake ni kidogo sana anatakiwa kuombewa huyu ili apate kibari cha kusikilizwa!

kamtukana nani hapo zaidi ya kusema ukweli?hivi na wewe bado unadhani watanzania ni mambulula ya miaka hiyo?nani asiyejua baba zenu ndiyo wezi wakubwa wa nchi hii?
 
Bangi zinakusumbua ,tukana utamaliza yote ukiwa ndani ya mfuko wa Singasinga, na hata sijui unawezaje kutukana kama umewekwa kwenye kiroba!

Hujui hata kuwekwa mfukoni ni nahau....ambayo ina maana na kubeba umbuji ndani yake. Wewe umeichukulia kama ilivyo yaani wewe ni mjingaaaaaaaaaaa......hata unachotetea hukijui nyambaaaafuuuu...Hujishangai humu jamvini wwe tu ndo unatetea ujinga.
 
He! Kumbe hii single haijatengenezewa video, ngoja tusubiri.
 
Kuna wakati dkt slaa alipiga kelele na kuwataja mafisadi kwa majina. Nikamsikiliza mwenyewe kwenye viwanja vya nmc arusha akiwataja mafisadi 11, bila shaka alifanya hivyo sehemu mbalimbali kwenye mikutano ya hadhara. Alikuwa na nyaraka kibao mkonon za ufisadi. Akitaja deep green, kagoda,meremeta, n.k. wakati huo waziri wa hazina mama meghji akionekana kusign nyaraka hizo na katibu mkuu wa hazina grey mgonja na gavana daud balali. Licha ya grey mgonja kutishia kumshtaki slaa lakini hakufanya hivyo. Wabongo tukaendelea na maisha na hayo yakawa hadithi ya sungura na fisi. Business as usual. Hivi watz ni nani aliyetuloga?? Kuna wakati ktk historia ya biblia waisraeli walipata taabu sana kule misri kwa kuwa hawakuwa na kiongozi wa kuwatetea. Mungu akamwinua musa baada ya kilio chao. Watz tunahitaji mungu atuinulie musa wa kutuokoa dhidi ya magamba. Amen.

Tatizo lenu hayo matochi ya kina kafulila na wenzake yanamulika mbali, karibu hayaoni!hata kama panya buku wanakatiza miguuni hayaoni yanamurika mbali! Kwenye nyumba zao za Siasa yanajifanya hayaoni ufisadi uliomo ndani mwao!Mwenye tochi la ukweli CAG kamulika mbona tumeona mapanya buku kibao yametafuna Ruzuku tena vyama vyote na hao hao wanaojifanya matarumbeta wa kuona maboriti ya wenzao ya kwao kimya hawayasemi, mie huwa najiuliza sijui wanakua wanafanya mazingaombwe au wanajilisha upepo!kibaya zaidi wanakula tena waziwazi bila kujificha, hao ni wezi tu!
 
Yaani we jamaa UNA MACHO LKN HUONI!!!

Yaani katika watu ambao nAshindwa kuwaelewa kabisa ni huyo kinjeketile jnr naonekana yuko very proud to be mpumbavu, hakuna hata mara 1 ambapo amechangia kama mwenye akili timamu
 
Akichangia jioni ya leo katika makadilio ya mapato na matumizi ya bajeti ya wizara ya maji, amesema tatizo ka serikali hii ya CCM ni serikali ambayo imewekwa mfukoni na singasinga mmoja.

"Mtu mmoja analipwa bilioni tano kwa mwezi, azalishe au asizalishe umeme wakati mradi wa maji jimboni kwangu unahitaji shilingi milioni mia nne, tukisema serikali hii ya CCM imewekwa mfukoni na singasinga mmoja mnakataa. "

ha h ha ha KAFULILA KAFULILA Nchi imewekwa mfukoni? Hii kauli inauma sana kwa shida tulizonazo baadhi ya Wtanzania sisi hasira zetu wataziona kwenye sanduku la kupigia kura
 
Hujui hata kuwekwa mfukoni ni nahau....ambayo ina maana na kubeba umbuji ndani yake. Wewe umeichukulia kama ilivyo yaani wewe ni mjingaaaaaaaaaaa......hata unachotetea hukijui nyambaaaafuuuu...Hujishangai humu jamvini wwe tu ndo unatetea ujinga.

Usilete mashairi yako hapa na kuanza kutengeneza ulaini wa lugha si ungekua na PhD ya lugha basi au ungekuwa BAKITA, Uko mfukoni mwa Singasinga wewe tulia nani kakuambia ni nahau eti unafanya harakati za kujitoa kaa humohumo wasio elewa kama wewe ndo wamewekwa kwenye huo mfukonwa bepari mie simo uko wewe na familia yako, mnatukanwa afu mnashangilia as if your Zuzuzzzzz!
 
kamtukana nani hapo zaidi ya kusema ukweli?hivi na wewe bado unadhani watanzania ni mambulula ya miaka hiyo?nani asiyejua baba zenu ndiyo wezi wakubwa wa nchi hii?

Hujatukana ila umewekwa mfukoni mwa Singasinga!maana nchi yako iko mfukoni mwake kwa hiyo na wewe uko humo na sijui unapumuaje kwa sasa!
 
Yaani katika watu ambao nAshindwa kuwaelewa kabisa ni huyo kinjeketile jnr naonekana yuko very proud to be mpumbavu, hakuna hata mara 1 ambapo amechangia kama mwenye akili timamu

Watu kama hao inabidi tuwasamehe bure. LABDA AMEONA THE ONLY WAY KUJENGA UMAARUFU JF NI KUJITAHIDI KWA KILA NAMNA KUWA MPUMBAVU.
 
ha h ha ha KAFULILA KAFULILA Nchi imewekwa mfukoni? Hii kauli inauma sana kwa shida tulizonazo baadhi ya Wtanzania sisi hasira zetu wataziona kwenye sanduku la kupigia kura

Pole ndugu yangu kwa kuwekwa kwenye mfuko wa huyo Singasinga,sijui unajisikiaje huduma zote anakupatia Singasinga ukiwa ndani ya mfuko wake na haijulikani atakutoa lini!uzuzu mwingine hata sio wa kufurahia!
 
Hawa jamaa wa magamba kazi yao kubwa ni kupiga dili tu, hivi mtu kama singasinga analipwa shilingi bilioni 5 kwa mwezi kama capacity charge, ikiwa na maana hata mwezi ambao singasinga huyo hawauzii TANESCO hata uniti 1, bado singasinga huyo mwisho wa mwezi anakinga bilioni 5 za chee!

Kweli nchi hii watawala wetu wameigeuza shamba la bibi na ndiyo maana makada wao kwa idadi kubwa kabisa, ambao wengine wao hawana hata uwezo wa kuongoza kata zao, lakini hivi sasa ndiyo wanapanga foleni ndefu kabisa pale Dodoma za kuchukua fomu za kutaka kupeperusha bendera ya chama chao kwa ajili ya nafasi ya Urais!

Sasa bora angefanya hivo kwa malipo halali.kwanza amenunua hisa kimagumashi
 
Back
Top Bottom