Kinjekitile junior
JF-Expert Member
- Apr 20, 2015
- 4,404
- 581
Una a vr low brain capacity.......Yaani umeacha kuwa shabiki wa chama umekuwa mpenzi wa chama. So ww ni halali ya akina mwiguluneti kufanywa vibaya. Don't quote me wrongly!
Hivi na wewe kwa akili zako unapumulia mfukoni kwa Singasinga?nikuulize sasa hivi uko wapi?uko mfukoni mwa huyo Singasinga?jibu acheni ujuha mnatukanwa afu mnakenua meno tu!!!