David Kafulila: Nchi imewekwa mfukoni na singasinga mmoja

David Kafulila: Nchi imewekwa mfukoni na singasinga mmoja

TAWA

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
3,674
Reaction score
1,572
Akichangia jioni ya leo katika makadilio ya mapato na matumizi ya bajeti ya wizara ya maji, amesema tatizo ka serikali hii ya CCM ni serikali ambayo imewekwa mfukoni na singasinga mmoja.

"Mtu mmoja analipwa bilioni tano kwa mwezi, azalishe au asizalishe umeme wakati mradi wa maji jimboni kwangu unahitaji shilingi milioni mia nne, tukisema serikali hii ya CCM imewekwa mfukoni na singasinga mmoja mnakataa. "
 
Akichangia jioni ya leo katika makadilio ya mapato na matumizi ya bajeti ya wizara ya maji, amesema tatizo ka serikali hii ya ccm ni serikali ambayo imewekwa mfukoni na singasinga mmoja. "Mtu mmoja analipwa bilioni tano kwa mwezi, azalishe au asizalishe umeme wakati mradi wa maji jimboni kwangu unahitaji shilingi milioni mua nne, tukisema serikali hii ya ccm imewekwa mfukoni na singasinga mmoja mnakataa. "

Hawawezi kumbana kwa kuwa inawezekana anakula nao. Amenifurahisha sana. Hivi kweli ina maana issue ya escrow ilishawekwa kapuni?
 
ccm hawamuwezi TUMBILI....wamuulize NYOKA WA MAKENGEZA ATAWAAMBIA DOGO YUKOJE!
 
Wewe ndo kichaa kweli kwa hiyo na wewe uko kwenye mfuko wa huyo Singasinga?uko mfukoni kwake wewe peke yako.

Una a vr low brain capacity.......Yaani umeacha kuwa shabiki wa chama umekuwa mpenzi wa chama. So ww ni halali ya akina mwiguluneti kufanywa vibaya. Don't quote me wrongly!
 
Back
Top Bottom