Kinjekitile junior
JF-Expert Member
- Apr 20, 2015
- 4,404
- 581
Wewe unabisha kila jambo unakuwa kama kichaa hivi
Huyo kijana ni tumaini la familia yake na wala si Bunge labda kama unamaanisha bunge la nyumbani kwake ambalo yeye ni spika mke wake mbeba siwaKafulila ni tumaini jipya bungeni na ni zaidi ya wabunge 100 wa ccm
Kafulila ni tumaini jipya bungeni na ni zaidi ya wabunge 100 wa ccm
Dogo kazoea kutukana ndo maana mafanikio yake ni kidogo sana anatakiwa kuombewa huyu ili apate kibari cha kusikilizwa!
pole sana ulie gizaniccm hawamuwezi TUMBILI....wamuulize NYOKA WA MAKENGEZA ATAWAAMBIA DOGO YUKOJE!
Huo mfuko wake huyo Singasinga ana bonge la mfuko kakuingiza ndani wewe na mke wako nawatotomuwe na ufahamu nyie kama gewezekana ungeuzwa wewe kwa huyo Singasinga ukae kwenye mfuko wake daima!
haaa!! kumbe TZ ina zamwamwa wengi tu ka wewe.
Akichangia jioni ya leo katika makadilio ya mapato na matumizi ya bajeti ya wizara ya maji, amesema tatizo ka serikali hii ya CCM ni serikali ambayo imewekwa mfukoni na singasinga mmoja.
"Mtu mmoja analipwa bilioni tano kwa mwezi, azalishe au asizalishe umeme wakati mradi wa maji jimboni kwangu unahitaji shilingi milioni mia nne, tukisema serikali hii ya CCM imewekwa mfukoni na singasinga mmoja mnakataa. "
 Kafulila well said!
Hujui hata kuwekwa mfukoni ni nahau....ambayo ina maana na kubeba umbuji ndani yake. Wewe umeichukulia kama ilivyo yaani wewe ni mjingaaaaaaaaaaa......hata unachotetea hukijui nyambaaaafuuuu...Hujishangai humu jamvini wwe tu ndo unatetea ujinga.
Wee zimwi lala au ndo umeamka huko ughaibuni, umemaliza uhaouse girl?
maye zako zimwi mwenyewe. hivi alikulipia mahari huyo mumeo au
msamehe ni mke wa singasinga
pole sana ulie gizani
lala viroba vikiisha uombe msamaha maana una pepo wengi sana uck huu na cartoon yko ya kianti ngoja nikuache