Mshawa
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 787
- 325
Utumbo mtupuuuuuuuuuuu?????
Hongera sana david kafulila.... umesema vyema sana..
Utumbo mtupuuuuuuuuuuu?????
Siasa za CDM zingechekewa na wangeshinda uchaguzi mkuu, wangeipelekea nchi matatizo tayari, sera za majimbo ni matatizo makubwa, siasa zao kuchongea na maandamano ni hatari, hivi ulijifunza nini na sakata la uchinjaji lilioanzia mwanza na kwenda kufanya watu watandikane mapanga Tunduma. Trust me tungeenda kwenye majmbo ingekuwa hatari you can see why there is the danger of multi party democracy in the third world in general, kwa sababu vyama vya siasa vikizidiwa huwa vinatumia kundi fulani kutokana na kabila, dini, regions to demand changes that is danger thanks god Lema kafanikiwa Arusha mjini tu, lakini siasa zake zingekuwa nationally ni hatari (well hilo linataka topic nyengine).Ngoja nikusaidie
Mwaka 1992 Maccm mlizunguka Tanzania yote kupiga propaganda kuwa vyama vingi vitaleta vita!
Sasa chama gani kilicholeta vita?-Kafulila
Watu hawajiamki asubuhi na kujianzia waungane tu bila ya sababu, huko nyuma baada ya kutandikana sana watu kwa kuogopa kuvamiwa mmoja mmoja ni bora waungane na serikali za majimbo ili wasaidiane kumshinda common enemy, vile vile ukubwa wa eneo la nchi ndio maana kuna kuwa na serikari nyingi hili local people waweze kuwa served locally.Propaganda zilezile za 1992 leo mnazirudia kwa style nyengine kuwa seikali 3 zitavunja Muungano-Kafulila
moja ya mambo aliyosema ni kwamba watu 17 elfu walipendekeza serikali tatu katika tume ya warioba, je bunge la watu 600 wana uwingi gani wakukataa maoni ya watu elfu 17?
Utumbo mtupuuuuuuuuuuu?????
Ambaye hajaelewa au kukubaliana na hoja za Kafulila, ni adui wa mustakabali mwema kwa Taifa.Kwa kweli, hata mimi nimemwelewa vizuri. Amejieleza kiufasaha sana. Natumaini Kamati nyingine zijitahidi kuwapa watu wa jinsi hii nafasi kuwatetea wachache. Hapa mwananchi wa kawaida ameelewa na hata wzle wenye mioyo migumu kushtuka kiasi fulani.
dont panic mkuu!!hujitambui sikun ukijielewa huta kuja kuonyesha jinsi gani ulivyo mjinga
Mimi ni Mtanzania wa kuzaliwa mama Mdengereko na Baba Muhehe, naambiwa wahehe ni wandereko waliosogea zamani. Naamini na Wazanzibar ni watanzania walio chukuliwa na utumwa zamani na kuna walio amia wenyewe hila aliondoi asili yao napigania muungano wa watu wamoja.dont panic mkuu!!hujitambui sikun ukijielewa huta kuja kuonyesha jinsi gani ulivyo mjinga
Namsubiri mchungaji Mtikila kwa hamu sana.
Sasa sijui nani ni kipofu kati ya mimi na wewe, hivi kutetea serikari mbili ni kutetea CCM. Kweli CDM wamewachukua na akili nyie watu, hivi wewe kwanini unaitaka Tanganyika? wewe kama wewe na si kwa akili za kuambiwa."Mapenzi yakizidi ni upofu"
Inaonekana akili unayo lakini umeruhusu akili yako kwenda likizo ili utetee hoja dhaifu ya CCM
Mnaweza mkazipata hizo selikali mbili kwa kutumia wingi wenu lakini mjue kuwa ipo siku Tanganyika itarudi
Kuna Maprof wengine watattu jana waliwakilisha rasimu yao,nilicheka hadi mbavu zikauma nilipowaona wakikabidhi ilo likitabu lao,kweli nchi hii ina usanii na wasanii wa aina nyingi.
Utumwa ni kulilia mkoloni na mambo yake kuanzia majina aliyo tuachia kama tanganyika na siasa za CUF na Jamsheed wao. Mimi ni mwafrikna na proud of being one na ntapigania chochote chenye kulinda hadhi yetu including umoja wetu.Mkuu, huyu happy feet amesau kuwa ukweli humuweka mtu huru. Yeye ameamua kutetea kitu tofauti na dhamira yake, ataishia kuwa mtumwa.
Ukisikiliza baadhi ya wabunge wanavyochangia unajua kabisa maneno yao yanapingana na dhamira zao. Watu wa jinsi hii watatesa ktk maisha yao yote, sawa na mwanamke aliyezaa mtoto na kumtupa chooni.
Ofisi ya rais ilipendekeza serikal 3, ofis ya w/mkuu serikal 3, ofis ya m/rais selikali 3, baraza la wawakilishi serikal 3, hapa nan mnafiki jk au warioba? hongera sana prof. kafulila umetisha, umeweka mambo sawa wanafiki historia itawahukumu.