Ally Kanah
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 1,479
- 388
Asee kafulila kanifanye nitokwe na machozi. Tanganyika Lazima.
Babu majanga alimuita sisimizi
Asee kafulila kanifanye nitokwe na machozi. Tanganyika Lazima.
Ndio walichobakiza tena wapinzani hawana lengine, kelele za serikali tatu tu kwa sasa.
Kila wakitia maguu vijijini na hadithi za ufisadi wanakuta wanaulizwa fine tunajua hupo lakini maji vipi, soko la mazao liko wapi, miundombinu hipo wapi na mtatusaidia vipi wanauma uma majibu hawana sera hawana. Zaidi ya kutukana jitihada zinazo onekana. Sasa wanakimbilia serikali tatu kwa sababu ni popular stand ndani ya JF, wasubiri uchaguzi ujao yetu macho wapiga kura badala ya kuwa concerned na what really their local constituents want wao unafiki tu kama alietoa mapendekezo ya serikali tatu.
Huyo Sharif Hamad kapewa tamko moja tu tayari anaweweseka, wapemba watabaki bara, asubiri aone watavyopanga mstari uhamiaji kuomba visa, mnajianzia tu serikari tatu.
Hizi Ndio hoja zako za kutetea serikali mbili!!??
Ngoja nikusaidie
Mwaka 1992 Maccm mlizunguka Tanzania yote kupiga propaganda kuwa vyama vingi vitaleta vita!
Sasa chama gani kilicholeta vita?-Kafulila
Propaganda zilezile za 1992 leo mnazirudia kwa style nyengine kuwa seikali 3 zitavunja Muungano-Kafulila
Ndio walichobakiza tena wapinzani hawana lengine, kelele za serikali tatu tu kwa sasa.
Kila wakitia maguu vijijini na hadithi za ufisadi wanakuta wanaulizwa fine tunajua hupo lakini maji vipi? soko la mazao liko wapi? miundombinu hipo wapi? na mtatusaidia vipi?. Wanauma uma majibu hawana sera hawana, zaidi ya kutukana jitihada zinazo onekana.
Sasa wanakimbilia serikali tatu kwa sababu ni popular stand ndani ya JF, wasubiri uchaguzi ujao yetu macho badala ya kuwa concerned na what really their local constituents want wao unafiki tu kama kiongozi alietoa mapendekezo ya serikali tatu.
Huyo Sharif Hamad kapewa tamko moja tu tayari anaweweseka, wapemba watabaki bara, asubiri aone watavyopanga mstari uhamiaji kuomba visa, mnajianzia tu serikari tatu.
"Mapenzi yakizidi ni upofu"Ndio walichobakiza tena wapinzani hawana lengine, kelele za serikali tatu tu kwa sasa.
Kila wakitia maguu vijijixni na hadithi za ufisadi wanakuta wanaulizwa fine tunajua hupo lakini
maji vipi? soko la mazao liko wapi? miundombinu hipo wapi? na mtatusaidia vipi?. Wanauma uma majibu hawana sera hawana, zaidi ya kutukana jitihada zinazo onekana.
Sasa wanakimbilia serikali tatu kwa sababu ni popular stand ndani ya JF, wasubiri uchaguzi
ujao yetu macho badala ya kuwa concerned na what really their local constituents want wao unafgki tu kama kiongozi alietoa mapendekezo ya serikali tatu.g
Huyo Sharif Hamad kapewa tamko moja tu tayari anaweweseka, wapemba watabaki bara,
asubiri aone watavyopanga mstari uhamiaji kuomba visa, mnajianzia tu serikari tatu.
Serikali tatu hazikwepeki,Ndio walichobakiza tena wapinzani hawana lengine, kelele za serikali tatu tu kwa sasa.
Kila wakitia maguu vijijini na hadithi za ufisadi wanakuta wanaulizwa fine tunajua hupo lakini maji vipi? soko la mazao liko wapi? miundombinu hipo wapi? na mtatusaidia vipi?. Wanauma uma majibu hawana sera hawana, zaidi ya kutukana jitihada zinazo onekana.
Sasa wanakimbilia serikali tatu kwa sababu ni popular stand ndani ya JF, wasubiri uchaguzi ujao yetu macho badala ya kuwa concerned na what really their local constituents want wao unafiki tu kama kiongozi alietoa mapendekezo ya serikali tatu.
Huyo Sharif Hamad kapewa tamko moja tu tayari anaweweseka, wapemba watabaki bara, asubiri aone watavyopanga mstari uhamiaji kuomba visa, mnajianzia tu serikari tatu.
moja ya mambo aliyosema ni kwamba watu 17 elfu walipendekeza serikali tatu katika tume ya warioba, je bunge la watu 600 wana uwingi gani wakukataa maoni ya watu elfu 17?Tupeni hotuba sasa mbona mimi sijaangalia ntelewa vipi kasema nini mbona mnavitu nusu nusu
sina tatizo na sixgate ila huyo jamaa mchokozi tu, iweje kila jambo linalomhusu kafulila yeye anamuita na sixgate?Mkuu huna imani na sixgate ? Btw how is shambalai? Umewaambia na wewe mipango dhalimu ya serikali mbili?
Sent from my iPad using JamiiForums