David Kafulila,na Serikali Tatu

David Kafulila,na Serikali Tatu

Unasema utampinga mkoloni na mambo yake yote. Mbona hapa unatumia kiingereza, reli, meli, ...?
Mbona huikatai mipaka ya nchi iliyoachwa na mkoloni?
Kuwa huru si kukataa kila kitu alichoacha mkoloni, na kuendeleza kila kilichofanywa na Mwafrika.
Ukweli utakuweka huru.
Hata huyo mkoloni utampinga vipi akija kuongea na wewe iwapo lugha gongana, wao wanaivunja mipaka yao sasa taratibu na hapa kama uoni nachofanya ni kupinga mipaka aliyoiweka mkoloni na ambayo tayari imefutwa hila kuna watumwa bado, among us.
 
Asili ipi unayo itaka wewe ya uhamiaji wa wa holela wa wabantu kabla ya kuwa settlers, asili inayorudi kwa watemi na ufalme wa settlers au unatataka asili ya jina Tanzania ambalo limechanganya herufi za Tanganyika na Zanzibar kuzaa neno Tanzania kama heshima ya muungano au unadhani neno Tanzania lilitungwa tu from no where?

wewe ndio ujitambui na --------- sio mimi.

Jamani mods neno 'used' as in exploited kwa kiswahli linahitaji kuwa blocked, majanga.
Kumbe unajua neno Tanzania ni la kubumba bumba tu, mzazi wa Tanzania ni Tanganyika usidharau asili yako.
 
Kwa kweli sikujua kama Kijana huyu ana mambo makubwa, mazuri, na point zenye hatima ya Taifa hili kiasi hicho. Nilitamani apewe muda wa ziada ili amalize na kazi iishe kwani haya ndiyo mambo muhimu tunayotaka hasa unapoongea kuhusu nchi yetu ya ahadi Tanganyika. Bravooo Mh. Kafulila.
 
ma prof wengi tanzania ni walafi wa pesa....hawana tathmini wa wanachokiongea
 
Siasa za CDM zingechekewa na wangeshinda uchaguzi mkuu, wangeipelekea nchi matatizo tayari, sera za majimbo ni matatizo makubwa, siasa zao kuchongea na maandamano ni hatari, hivi ulijifunza nini na sakata la uchinjaji lilioanzia mwanza na kwenda kufanya watu watandikane mapanga Tunduma. Trust me tungeenda kwenye majmbo ingekuwa hatari you can see why there is the danger of multi party democracy in the third world in general, kwa sababu vyama vya siasa vikizidiwa huwa vinatumia kundi fulani kutokana na kabila, dini, regions to demand changes that is danger thanks god Lema kafanikiwa Arusha mjini tu, lakini siasa zake zingekuwa nationally ni hatari (well hilo linataka topic nyengine).

Watu hawajiamki asubuhi na kujianzia waungane tu bila ya sababu, huko nyuma baada ya kutandikana sana watu kwa kuogopa kuvamiwa mmoja mmoja ni bora waungane na serikali za majimbo ili wasaidiane kumshinda common enemy, vile vile ukubwa wa eneo la nchi ndio maana kuna kuwa na serikari nyingi hili local people waweze kuwa served locally.

Kwenye mahala watu walipoona sisi tulikuwa wamoja au tuna historia moja wengi walipenda kurudi kama historia yao, sisi tumetokea hapo na swala hili lilifanywa mara baada ya mapinduzi ya ZnZ, leo tena tuvunje muungano huko ni kuwapa ushindi watu wanaong'an'gana na historia mbaya ya utumwa as 'Salmini Amour' referred to them Manyan'gau's.

Serikali tatu ndio lenye lengo hilo kuturudisha nyuma, huyo kafulila akachungulie Kigoma kila kukicha uhamiaji inakamata raia wakirundi kwenye mashamba huko wakifanya kazi illegally without the right papers if he is so concerned na nchi yake.

Serikari mbili sio propaganda, serikali tatu ndio propaganda you cant call propaganda on what already exists, propaganda is what you want to make people believe is right for them kama wanafiki wa serikali tatu (kitu ambacho hatujawahi kuwa nacho), kwa hivyo kusema serikari tatu zinaweza vunja muungano that is a real outcome.

Si kuna proponents pia wa serikari tatu wanaosema wazi muungano uvunjwe na zanzibar ipewe mamlaka kamili. Well if you accumulate thoughts of these people plus the three tier government proposed hakuna mwenye akili timamu atakae taka kutupa hela kuendesha serikali ya tatu by virtue of common sense huko ni kutaka kuuvunja muungano in the long run.

Besides mapendekezo ya tatu, ambayo ndio serikali kuu aina nguvu kama nchi zake inazotakiwa kuziongoza ina mabavu tu kwa sababu ina majeshi lakini aina power to influence policies za nchi ,bili ambazo si maswala ya muungano, sasa Zanzibar ikisema inataka kufanya biashara na Rwanda ya madini, wakati tunajua rwanda hawana madini, where are the limitations of governments free will,.

Hiwapo Tanzania bara inataka kwenda SADC na EAC halafu ZnZ ikaamua kwenda kwenye umoja wa visiwa na nchi za kiislamu au muungano mwengine wa kimataifa, ni hivi there are no clear autonomous limitations which could lead to countries making allies who do not see eye to eye with the other union state, there are many things i can think of ambapo jaji warioba hakuzingatia ambayo yataenda leta sinto-kufahamu huko mbele.

Ulisha aminishwa hivyo. Subiri muda ukifika mtatafuta pa kwenda.
Nawakilisha wakuu.
 
Mungu mbariki Kafulila, ibariki Tanganyika, ibariki Zanzibar, ibariki Tanzania, mbariki Warioba na tume yke!
Mungu wabariki Watanzania
 
Kumbe unajua neno Tanzania ni la kubumba bumba tu, mzazi wa Tanzania ni Tanganyika usidharau asili yako.
Nimezaliwa ndani ya Tanzania ndio asili yangu, Tanganyika naijuia kwa historia ambayo sio nzuri ya mzungu kuchinja watu, kutupeleka vitani bila ya ridhaa, kutawalia kutoka UK the word bears the connotions of colonial bearings and all its evils.
 
wakuu mbona leo kuna kundi fulani halichangii kulikon?
 
wakuu mbona leo kuna kundi fulani halichangii kulikon?

Nadhani bado wanapokea maelekezo na naamini wakirudi hapa watu wengi watakula ban maana hivi vijamaa vina mbinu za kichokozi sana. Utaniambia kabla ya saa kumi na mbili jioni.
 
wakuu mbona leo kuna kundi fulani halichangii kulikon?
Habari nilizonazo Lumumba haijatoa fungu kwenye suala la katiba wewe anzisha thread ya Slaa na Chadema utawaona wanavyopishana kujibu wenyewe kwa wenyewe.
 


Mr. Kafulila vs Prof. Shivji

Naomba tufanye rating ya hao, maximum point ni 10

"Kwa nondo za dogo kafurila leo wala huwez ukamlinganisha na maprofesa uchwara(Maprofesa wachumia tumbo) wa tanzania.NA DOGO NDIYOOO KWANZA KAANZA MASTERS UD,What can you expect dogo akishauvaa uprofesa?"LONG LIVE KAFURILA
 
Nadhani wabunge wa upinzani hawana budi kuiga hii style ya Kafulila, kupayuka sana hakusaidii, nimependa alivyokuwa ametulia na kujiamini.
 
Nimezaliwa ndani ya Tanzania ndio asili yangu, Tanganyika naijuia kwa historia ambayo sio nzuri ya mzungu kuchinja watu, kutupeleka vitani bila ya ridhaa, kutawalia kutoka UK the word bears the connotions of colonial bearings and all its evils.

Mungu ibariki Tanganyika
 
Back
Top Bottom