David Kafulila ajivua uanachama CHADEMA

David Kafulila ajivua uanachama CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Ndugu yangu, huko unakonipeleka mimi simo. Mimi ni mlala hoi tu ninayetarajia kuwa pengine siku moja ama upinzani ama chama tawala kitajuta kwa maovu wanayotufanyia.

Si umemsikia Mkapa ameshaanza kuyaacha ya Kaisari na kumgeukia Mungu. Basi huenda akina Mbowe na Kafulila nao wakafuata mkondo na kujisuta.

Sisi ni wamoja, zaidi ya JF hatuna pakusemea. Hongera JF. Heri akina Kafulila wanauwezo wa kuwakusanya waandishi wa habari kibao na kusema watakavyo, nasi tukaamini.

Idumu JF!!!!

Acha mawazo ya kipumbavu. Nawe unajiita ni great thinker? Kumgeukia Mungu baada ya kuifisadi nchi na kuacha madaraka, kutakusaidia nini wewe?

No wonder CCM itatutawala kwa kipindi kirefu kijacho.
 
Siasa za Tanzania ni tofauti sana na Kenya, sitaingia kiundani.

Lakini Hebu turudi nyumbani, Tanzania. Kuna wanasiasa wengi toka tuanze siasa za vyama vingi wamehama vyama, tena wengine wamehama zaidi ya vyama vitatu. Tupe mfano mmoja tu, kati ya hao watanzania waliohama vyama na wakalitumikia Taifa vyema zaidi ya vyama vyao vya awali?

Ninachosema hapa ni kuwa hao ambao wamehama na hawajafanya kitu ,msukumo wao wa kuhama chama ulikuwa na ambition tofauti kabisa.Ama kifupi wapo kwenye vyama kwa malengo yao mahususi.

Huwezi force mambo eti kwa kufikiri kung'ang'ania ndio utakuwa ujasiri ,kama majeshi ya adui yamekuzunguka na huna jinsi unamajawabu mawili tu kurudi nyuma ama kusalenda mikononi mwa aadui. Kung'ang'ania kwenda mbele ni kifo tu.

Naomba uchukulie mfano huu kama mfano na si itikadi za kidini. Herode alipogunduwa kuna mtoto mfalme wa wayahudi kazaliwa yani YESU ,Herode aliagiza wachinjwe watoto wa rika chini ya miaka 5. Mungu akamwambia yosefu akimbilie MISRI.

Sasa swali kwa nini Mungu mwenye power aliamuru Yosefu atoloke na asing'ang'anie pale ili auonyeshe u Mungu wake?.

Mimi huwa nasema ktk maisha hakuna cha past experience ,Take for ur own risk. Past experience inafanya kazi tu kwa mtu yuleyule na mazingira yaleyale na haifanyi kazi kwa kureference watu wengine na mazingira tofauti.

Huwezi kurefence mchapuko wa gari kwa kuangalia mwendo kasi iliyo nao wakati mwendokasi wa awali uka refence trekta uliloliona kule GEZAULOLE.
 
kuhama chama ni uamuzi mgumu japokuwa wakati mwingine unaweza kuwa na sababu za msingi ndani yake..
kuna uwezekano pia kafulila ameona mwenendo mzima wa chama chake hauendani na matarajio yake na matarajio ya vijana walio wengi.. kwani kwa hali inavyoonyesha sasa hata kama hiyo nidhamu kwa CHADEMA iys too much...
kama dr slaa amemuondoa kafulila utendaji makao makuu kwa kuwa ni mtovu wa nidhamu kumuunga mkono zitto, hakuwa na sababu yoyote ya kuwaacha john mrema na john mnyika waliuomuunga mkono mbowe coz hata wao pia ni watovu wa nidhamu
 
No hapa anaongelewa - Kolimba, Kabeho, Kibona, Mama Mbatia, Kombe, mkemia mkuu wa serikali, Stan Katabalo, na wengine wengi waliopitia chinja chinja ya ccm.

Hapo hujaweka wale waandamanaji wa pemba au mauaji ya Jan 2001.

Mwafrika,

Samahani kwani unalingasha nini hapa?
 
Inashangaza sana kuona wana JF tunajadli kujiondoa kwa kafulila CHADEMA na kuanza kuonyesha hisia zetu pasipo kuangalia hoja za msingi.
kafulila amejiondoa CHADEMA baada ya kugundua kuwa Dr slaa ni kibaraka wa MBOWE ambaye kamwe msimamo wake haujulikani ndani ya chama.
ukweli upo hivi
Kafulila alikuwa miongoni mwa wapambanaji viongozi waliokuwa wanamuunga mkono zitto kabwe katika uchaguzi wa CHADEMA na pia kijana huyo ni mpambanaji mzuri na muandaaji mzuri wa hoja zenye mashiko...kilichomponza ni yeye kumuunga mkono hadharani zitto,,
ndugu zangu katika uchaguzi ule hakukuwa na mtu aliyekuwa neutral, kila mmoja alikuwa na upande wake,tatizo ni kwamba upande wa zitto ulikuwa na watu wenye akili na uwezo mkubwa tofauti na kina JOHN MREMA na JOHN MNYIKA NA BENSON KIGAILA ambao walishindwa kabisa kujenga hoja badala yake, wakawa wanasema zitto katumwa na mafisadi...
sasa ni hivi kama slaa wewe ni mwalimu wa nidhamu ndani ya CHADEMA mbona umewaacha hawa?..au kwa sababu wote wanatokea KILIMANJARO?
 
===
Ndugu yangu Ado
Kama unaipenda Chadema na unaitakia mema, kwa nini haya usimpelekee Dr. Slaa kwa siri akayafanyia kazi?
Unaongea kwa uchungu kuonyesha unaipenda Chadema, kwa hiyo nakusihi mambo ya Chadema sasa tuyapeleke kwenye chama.

Samahani kama nimekuudhi.
 
kama dr slaa amemuondoa kafulila utendaji makao makuu kwa kuwa ni mtovu wa nidhamu kumuunga mkono zitto, hakuwa na sababu yoyote ya kuwaacha john mrema na john mnyika waliuomuunga mkono mbowe coz hata wao pia ni watovu wa nidhamu

Mkuu Ado, sidhani kama hiyo ni sababu ya Kafulila kuvuliwa Uanachama
 
Ado

Inashangaza sana kuona wana JF tunajadli kujiondoa kwa kafulila CHADEMA na kuanza kuonyesha hisia zetu pasipo kuangalia hoja za msingi.
kafulila amejiondoa CHADEMA baada ya kugundua kuwa Dr slaa ni kibaraka wa MBOWE ambaye kamwe msimamo wake haujulikani ndani ya chama.
ukweli upo hivi

Mkuu Ado ulikuwa wapi?

Kafulila alikuwa miongoni mwa wapambanaji viongozi waliokuwa wanamuunga mkono zitto kabwe katika uchaguzi wa CHADEMA na pia kijana huyo ni mpambanaji mzuri na muandaaji mzuri wa hoja zenye mashiko...kilichomponza ni yeye kumuunga mkono hadharani zitto,,
ndugu zangu katika uchaguzi ule hakukuwa na mtu aliyekuwa neutral, kila mmoja alikuwa na upande wake,tatizo ni kwamba upande wa zitto ulikuwa na watu wenye akili na uwezo mkubwa tofauti na kina JOHN MREMA na JOHN MNYIKA NA BENSON KIGAILA ambao walishindwa kabisa kujenga hoja badala yake, wakawa wanasema zitto katumwa na mafisadi...
sasa ni hivi kama slaa wewe ni mwalimu wa nidhamu ndani ya CHADEMA mbona umewaacha hawa?..au kwa sababu wote wanatokea KILIMANJARO?

Mkuu Baada ya Uchaguzi Makundi yote huwa yanavunjwa sasa kama una ushahidi kwamba Akina mnyika bado wanendeleza makundi sawa ila kama waliyafuta makundi yao hawasatahili adhabu yeyote

Chadema need to sit down ask them selves WHY is this happening
 
Si vizuri kuropoka ropoka anadhani huku ankoenda ndio kuna amani. Angalia hata CCM wanavyotafunana wenyewe kwa wenyewe. Yeye alitakiwa kutulia kuomba msamaha ili aanze upya. Hata katika dini ukikiuka taratibu zake unatengwa, kinsingi unakuwa umejitenga mwenyewe na Mungu. Kumbuka kila taasisi ina maadili yake. Kusaini hundi Mwenyekiti is not an issue.
Kweli kabisa anakokwenda sidhani kama ni sahihi anavyofikiria,kukosolewa ni wajibu wa kila kiongozi kama kafulila.
nasikia kaenda nccr-mageuzi,atakuwa anapishana na serasili aliyekuwa huko akajiunga chadema.
any tangulia kafulila.
 
Ndugu yangu, huko unakonipeleka mimi simo. Mimi ni mlala hoi tu ninayetarajia kuwa pengine siku moja ama upinzani ama chama tawala kitajuta kwa maovu wanayotufanyia.

Si umemsikia Mkapa ameshaanza kuyaacha ya Kaisari na kumgeukia Mungu. Basi huenda akina Mbowe na Kafulila nao wakafuata mkondo na kujisuta.

Sisi ni wamoja, zaidi ya JF hatuna pakusemea. Hongera JF. Heri akina Kafulila wanauwezo wa kuwakusanya waandishi wa habari kibao na kusema watakavyo, nasi tukaamini.

Idumu JF!!!!

Bwa ha ha ha ha,

Ama kweli enzi za watoto wa wakulima kuwa mawaziri wakuu (maneno ya Mheshimiwa Pinda) yanafanya kila mtu awe mlala hoi.
 
Mwafrika,

Samahani kwani unalingasha nini hapa?

Ninawakumbuka wanaharakati, waandishi wa habari, wana sisiemu au viongozi wa serikali waliokufa (weka neno lolote hapa kwenye mabano) miaka ya hivi karibuni.
 
Wakuu
naombeni mnijuze sababu gani iliyopelekea uyu jamaa aondoke chadema mana jamaa ni kichwa sana kwa mambo aliyoongea jana sikutegemea angekua nje ya Gari letu aisee
 
Wana jf . Asalaa aleikhum. Ningependa kujua je yaliyomsibu Kafulila mpaka akahama Chadema yanaweza fanana na yaliyomsibu Zito Mzalendo ?? Je sababu zile mpaka leo bado Kafulila anaziona zipo au hali imebadilika ?
 
Huko tulishatoka zamani! Ukawa ndio habari ya mjini!
Naomba ujibu swali blaza. Tunataka tuweke rekodi vizuri kwa sababu tumepata malalamiko mengi sana kuhusiana na matendo mbalimbali yanayofanywa na baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani.tatizo watanzania tumekalia ushabiki tu lakini hakufuatilii mambo mengi yanayoendelea chini kwa chini ndani ya vyama hivyo. Lazima tusimamie tuhakikishe demokrasia haipokwi na viongozi hawa baadhi. Kuna viongozi wanamiliki vyama kama mali binafsi tu, ukijitokeza mtu mwenye dira tu ya mabadiliko unaitwa msaliti.inashangaza. mambo wanayotenda ukilinganisha na wanayoyapigia kelele majukwaani.
 
Slaa alimwita SISIMIZI.leo anamwita Mzalendo.siasa mbaya au watu wabaya?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom