David Kafulila ajiunga rasmi na CCM huko Mbweni jijini Dar

David Kafulila ajiunga rasmi na CCM huko Mbweni jijini Dar

Mkuu hata kama ana hoja ya msingi, kikubwa hana principles in life

Kafulila ni kama kahaba kila mwanaume akipita anamtolea macho

Kafulila is a coward na anatumia rear view mirror kusukuma maisha yake
kama vile Lowassa, nyarandu,kingunge,et all

..sasa alikuwa anaogopa nini kusema anahamia CCM?

..hata Lau Masha naye ilikuwa hivyohivyo.

..mtu anaulizwa zaidi ya mara 5 kama anahamia ccm lakini anakwepa kujibu.

..ni kama watu wanaona aibu kwa maamuzi yao.

lazima uwe na roho ngumu kujikana ww na background yako

Hii itakuwa sawa tu kama uhamuzi wake ulikuwa ni wa hoja alizozitaja lakini kama nyuma ya pazia ni msukumo na ushawishi wa maslahi binafsi,madaraka,fedha bac hoja zake itakuwa ni gheresha
kaka henzi zetu siasa ilikua wito. lakini sasa hivi siasa ni ajira nono kaka ukitaka kutoka haraka kimaisha basi siasa ndiyo jumbani yake.

[quote uid=17813 name="Pascal Mayalla" post=24570732]hongera zake ni haki yake, nasisitiza, asibezwe, ana hoja za msingi.

Paskali[/QUOTE]
Mkuu kwa Kafulila lazima abezwe sana tu..

Kama mkewe tu kambeza kwa kiwango kile sembuse wananchi wa kawaida..!?

Yote yale ya ovyo which Kafulila have been fighting for bado yana exist tena kwa kiwango kikubwa ndani ya CCM..

Vita gani ya ufisadi iliyopiganwa ndani ya CCM tumeiona??

Kesi ngapi zimehukumiwa za ufisadi na utawala huu??
Yaa Lulu??

Wote aliopambana nao kwenye issue ya Escrow they are peacefully breathing there at CCM..

Completely there's no remarkable changes on good governance, corruption and Democracy in this government..

Poor Kafulila.

Acha Jeuri lini sisi WA Kg tukaaminika msitake kutuvisha sifa zenu za kufia jambo,

23844752_10155922612088792_3767087660865122683_n.jpg

Hivi hajiskii aibu??
Mimi kwangu Ukikuta t-shirt ya hii rangi basi ni Dekio

Back
Top Bottom