Utasubiri sana....Zitto wengi wenu hammuelewi....ni mtu makini kweli kweli.Bado Zitto Kabwe tu.....
David Kafulila amejiunga na CCM leo Mbweni jijini Dar na kukabidhiwa kadi na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Humphrey Polepole. Hii inathibitisha na kuhitimisha mawazo ya wengi kua Bwana huyu alijitoa Chadema ili Kujiunga na CCM.
View attachment 637181
Polepole ameuita huu ni Usajili, ila navyojua anaesajiliwa lazima apewe chochote kitu. Nilidhani kua Biashara ya Ununuzi wa Binadamu ilishakufa enzi za Ukoloni, kumbe imerudi kwa jina jingine la "usajili".
Viva Tanzania ya Viwanda
Mkuu kwa Kafulila lazima abezwe sana tu..
Kama mkewe tu kambeza kwa kiwango kile sembuse wananchi wa kawaida..!?
Yote yale ya ovyo which Kafulila have been fighting for bado yana exist tena kwa kiwango kikubwa ndani ya CCM..
Vita gani ya ufisadi iliyopiganwa ndani ya CCM tumeiona??
Kesi ngapi zimehukumiwa za ufisadi na utawala huu??
Yaa Lulu??
Wote aliopambana nao kwenye issue ya Escrow they are peacefully breathing there at CCM..
Completely there's no remarkable changes on good governance, corruption and Democracy in this government..
Poor Kafulila.
Padre Slaa ameanza uzinzi tangu akiwa kasisi na mpaka akamzalisha Rose Kamili.Unawaza uzinzi tu... huenda nyie mnamchapia Kafulila kimya ndio maana hana adabu kwa mumewe.!
Usiingie kwenye siasa mkuu, Mbaya sana hawa wabunge wetu wakishamaliza ubunge ni kama mashetani wanakuwa maskini sana sijui ni laana ya matambiko na madawa ya kienyeji wanayokunywa kipind cha uchaguz, Huyo ni njaa inamsumbua analishwa na mkewe na sasa mkewe yupo dodoma anashughulikiwa na wanaumehongera zake ni haki yake, nasisitiza, asibezwe, ana hoja za msingi.
Paskali
Hahahahaaa! Wale wa "kule" huwa hawana aibu. Ukijaribu kumshauri atakubishia hadi koo limkauke na atakutolea macho kama mgebuka uliokaangwa vema kwa mawese!aisee..hivi haoni aibu!!!!!
Last few Years kafulila was a hero of a Nation, while Polepole alikua akipiga piga kelele mitaani tu,Anakula kiapo cha wachumia tumbo na wasaliti. Hajitambui kweli huyu mganga njaa.
Huwa unamnunulia ww chakula?alishawahi kukuomba hela hata siku moja? Pambana na hali yako jombaaKafulila hana ela hata ya chakula thts why mwanamme asiejiamini na ni mnafiki na mzandiki
Safi sana.
Naona kajitambua na kaamua kuacha kuwa karai.
Tena ukiiendekeza kwa mwanaume hata kama una njaa vipi inabidi ujikazeMno aisee
Mkuu kwa Kafulila lazima abezwe sana tu..
Kama mkewe tu kambeza kwa kiwango kile sembuse wananchi wa kawaida..!?
Yote yale ya ovyo which Kafulila have been fighting for bado yana exist tena kwa kiwango kikubwa ndani ya CCM..
Vita gani ya ufisadi iliyopiganwa ndani ya CCM tumeiona??
Kesi ngapi zimehukumiwa za ufisadi na utawala huu??
Yaa Lulu??
Wote aliopambana nao kwenye issue ya Escrow they are peacefully breathing there at CCM..
Completely there's no remarkable changes on good governance, corruption and Democracy in this government..
Poor Kafulila.
hongera zake ni haki yake, nasisitiza, asibezwe, ana hoja za msingi.
Paskali
Kama ulikuwepo! Kama hakuna hakuna nafasi za ubunge wa kuteuliwa kuna nafasi za ukuu wa wilaya. Kwa 'ego' ya mwaume hawezi kuendelea kumuomba Jesca pocket money!Mda sio mrefu atapewa keki yake wakuu
Tumbili, kumbe Werema alishamuona! Tumbili anafukuza mahindi popote yalipo!Huyu bwana kwa sasa amekuwa kama kile kinyago cha mpapure alipotoka nccr kwenda chadema walimunyesha akipokea kadi kule mwanza, na leo tena amenyanyuliwa tena kule Mbweni akionyeshwa kupokea kadi ya ccm. baada ya hapo sijui atanyanyuliwa katika jukwaa gani. hivyo anakuwa kama kinyago kile cha mpapure kilichoimbwa katika nyimbo za mipasho.