Hii itakuwa sawa tu kama uhamuzi wake ulikuwa ni wa hoja alizozitaja lakini kama nyuma ya pazia ni msukumo na ushawishi wa maslahi binafsi,madaraka,fedha bac hoja zake itakuwa ni ghereshahongera zake ni haki yake, nasisitiza, asibezwe, ana hoja za msingi.
Paskali
Tulijua tu ndiyo kinachofuata....mke Chadema...mume CCM ha ha ha ha maisha haya....haya yetu macho.
Wale huku na hukuTulijua tu ndiyo kinachofuata....mke Chadema...mume CCM ha ha ha ha maisha haya....haya yetu macho.
Sisi wengine kuna fursa zaidi tunaziona.hongera zake ni haki yake, nasisitiza, asibezwe, ana hoja za msingi.
Paskali
hongera zake ni haki yake, nasisitiza, asibezwe, ana hoja za msingi.
Paskali
Alikua anamuogopa mkewe sio wewe..sasa alikuwa anaogopa nini kusema anahamia CCM?
..hata Lau Masha naye ilikuwa hivyohivyo.
..mtu anaulizwa zaidi ya mara 5 kama anahamia ccm lakini anakwepa kujibu.
..ni kama watu wanaona aibu kwa maamuzi yao.
Alikuwa mbunge huyu jamaa, sijui ilikuwa karai la naniSafi sana.
Naona kajitambua na kaamua kuacha kuwa karai.
Mkuu kwa Kafulila lazima abezwe sana tu..hongera zake ni haki yake, nasisitiza, asibezwe, ana hoja za msingi.
Paskali
David Kafulila amejiunga na CCM leo Mbweni jijini Dar na kukabidhiwa kadi na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Humphrey Polepole. Hii inathibitisha na kuhitimisha mawazo ya wengi kua Bwana huyu alijitoa Chadema ili Kujiunga na CCM.
View attachment 637181
Polepole ameuita huu ni Usajili, ila navyojua anaesajiliwa lazima apewe chochote kitu. Nilidhani kua Biashara ya Ununuzi wa Binadamu ilishakufa enzi za Ukoloni, kumbe imerudi kwa jina jingine la "usajili".
Viva Tanzania ya Viwanda
Hoja za msingi? Labda usisitize juu ya "haki yake ya kimsingi kikatiba" kuamua hata kesho awe tena kwenye upande/chama kipi cha siasa! Hana hoja. Kila nikijaribu kuzishika hata kwa sindano, zinaponyoka!hongera zake ni haki yake, nasisitiza, asibezwe, ana hoja za msingi.
Paskali