David Kafulila ajiunga rasmi na CCM huko Mbweni jijini Dar

David Kafulila amejiunga na CCM leo Mbweni jijini Dar na kukabidhiwa kadi na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Humphrey Polepole. Hii inathibitisha na kuhitimisha mawazo ya wengi kua Bwana huyu alijitoa Chadema ili Kujiunga na CCM.
View attachment 637181
Polepole ameuita huu ni Usajili, ila navyojua anaesajiliwa lazima apewe chochote kitu. Nilidhani kua Biashara ya Ununuzi wa Binadamu ilishakufa enzi za Ukoloni, kumbe imerudi kwa jina jingine la "usajili".

Viva Tanzania ya Viwanda
Kilamtu anapambana na hali yake. Pambana na hali yako.
 
David Kafulila amejiunga na CCM leo Mbweni jijini Dar na kukabidhiwa kadi na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Humphrey Polepole. Hii inathibitisha na kuhitimisha mawazo ya wengi kua Bwana huyu alijitoa Chadema ili Kujiunga na CCM.
View attachment 637181
Polepole ameuita huu ni Usajili, ila navyojua anaesajiliwa lazima apewe chochote kitu. Nilidhani kua Biashara ya Ununuzi wa Binadamu ilishakufa enzi za Ukoloni, kumbe imerudi kwa jina jingine la "usajili".

Viva Tanzania ya Viwanda
Kwani vipi bado mlikua mnamuhitaji!
 
Hahahaha kama kuna wengne bdo wapo cdm na wanampango wa kuhama, ruksa na ni haki yao, lakni sidhan kama cdm itateteleka
 
..sasa alikuwa anaogopa nini kusema anahamia CCM?

..hata Lau Masha naye ilikuwa hivyohivyo.

..mtu anaulizwa zaidi ya mara 5 kama anahamia ccm lakini anakwepa kujibu.

..ni kama watu wanaona aibu kwa maamuzi yao.
Alikuwa hajakabidhiwa advance, baada ya kutekeleza awamu ya kwanza
 
Back
Top Bottom