MTK
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 8,920
- 6,859
Duh Mr Njaa umekuwa zaidi ya mkewe Daudi; hataree! Kipofu mia na moja! Njaa mbaya!
Duh Mr Njaa umekuwa zaidi ya mkewe Daudi; hataree! Kipofu mia na moja! Njaa mbaya!
Mkuu, chadema kimekuwa chama cha ajabu sana; hawasikilizi hoja wala kujibu hoja kwa hoja. Sasa hivi ni matusi na kejeli kwa kwenda mbele, ukiwashauri kitu unaishia kutukanwa na kukejeliwa. Na sasa wameanzisha hoja ya kijinga kabisa ya ukabila. Soon watakwambia unawashauri hivyo kwa kuwa wewe ni msukuma. Damn ......!hongera zake ni haki yake, nasisitiza, kwa msisitizo, huyu mtu asibezwe, ana hoja za msingi, asikilizwe na hoja zake zifanyiwe kazi!.
Hili nimelizungumza hapa
CHADEMA mjitafakari msiwabeze wahamaji, wana hoja za msingi. Adui wenu mkuu sio CCM! Lazima mbadilike
Paskali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ule wa nyalandu and friends ni nnDavid Kafulila amejiunga na CCM leo Mbweni jijini Dar na kukabidhiwa kadi na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Humphrey Polepole. Hii inathibitisha na kuhitimisha mawazo ya wengi kua Bwana huyu alijitoa Chadema ili Kujiunga na CCM.
View attachment 637181
Polepole ameuita huu ni Usajili, ila navyojua anaesajiliwa lazima apewe chochote kitu. Nilidhani kua Biashara ya Ununuzi wa Binadamu ilishakufa enzi za Ukoloni, kumbe imerudi kwa jina jingine la "usajili".
Viva Tanzania ya Viwanda
Duh Mr Njaa umekuwa zaidi ya mkewe Daudi; hataree! Kipofu mia na moja! Njaa mbaya!
Kama alivyosema Mhe Nape. Kuwa kwenye chama inatakiwa kuwa na imani na itikadi inayokusuma. Sasa Mtu anayehama anakua amebadilisha Imani na itikadi yake. Ngumu kidogo kama unajua maana ya Imani na Itikadi.Alikuwa mbunge huyu jamaa, sijui ilikuwa karai la nani
David Kafulila amejiunga na CCM leo Mbweni jijini Dar na kukabidhiwa kadi na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Humphrey Polepole. Hii inathibitisha na kuhitimisha mawazo ya wengi kua Bwana huyu alijitoa Chadema ili Kujiunga na CCM.
View attachment 637181
Polepole ameuita huu ni Usajili, ila navyojua anaesajiliwa lazima apewe chochote kitu. Nilidhani kua Biashara ya Ununuzi wa Binadamu ilishakufa enzi za Ukoloni, kumbe imerudi kwa jina jingine la "usajili".
Viva Tanzania ya Viwanda
Nguchiro wawili wanapendeza zaidi!David Kafulila amejiunga na CCM leo Mbweni jijini Dar na kukabidhiwa kadi na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Humphrey Polepole. Hii inathibitisha na kuhitimisha mawazo ya wengi kua Bwana huyu alijitoa Chadema ili Kujiunga na CCM.
View attachment 637181
Polepole ameuita huu ni Usajili, ila navyojua anaesajiliwa lazima apewe chochote kitu. Nilidhani kua Biashara ya Ununuzi wa Binadamu ilishakufa enzi za Ukoloni, kumbe imerudi kwa jina jingine la "usajili".
Viva Tanzania ya Viwanda
Maskini David!!!?Keki ya wanafiki, wasaliti na wachumia tumbo wa Taifa letu.
Atapenda genge la wezi km Chenge na Ngeleja??ccm utaipenda tu hata Kafulila alisema hivi hivi
Pascal na Jerry Muro niliwaamini saana (mzee wa kiti moto) kumbe na nyinyi ni njaa.
Acha kushabikia ujinga, ana uthubutu kwa kutishia watu na bunduki??
MaCCM hao walimwibia kura na kunyanganya ubunge anarudi kuwalamba miguu!!Alichokifanya Ni sawa na Kuipiga Damu ya Lissu na Ben Saanane Mateke! Sokwe huyu Scavenger huyu anaweza akala hata placenta ya mzazi wake! Chadema Walisaidia huyu Tumbili asife njaa kwa kumpa Mke wake Ubunge wa Kuteuliwa lakini angalia shukurani zake! Wanasema Shukurani ya Punda ni Mateke ila Nitaenda Mbali na Kusema Kafulila ni Kama kumbeba Bata mgongoni Shukurani yake haisemeki! Ahhhh si niseme tu! Shukurani yake ni uharo!
Swadakta mkuuHivi mnadhani Kafulila yupo tena?Ameishakufa kisiasa ni Marehemu kabisa kabisa