Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,191
- 34,478
aka miss kauzibe? lol. Safiiiii. Aisee utafiti atamuweka bize manake akiona ishu yako unafanya kwa siri lazima akuumbue.
Nilipitiwa nikamkonyeza mtu flani hivi ( Arushaone) mbiooo kamuita OS na akanisemea kwa mkewe. Basi tu OS mvumilivu, azawaissssss....
Last edited by a moderator: