Dating

Dating

Wewe kaka yao mkubwa ukijua inatosha sana kaka!!!

Khe Khe Khe Khe

Aaaaaanh wapi kama hakuwepo hapa basi ana aje aseme wapi alikuwa!!!!!

KWELI Mkuu!

Huyu Tized ndo Bado kajichimbia?!?

coincidence ya mwaka hii.

Mkuu OLESAIDIMU na Karucee wote hapa wanaikataa hiyo coincidence na haiwezi tuu kuwa mere coincidence bali ni planned coincidence ambayo ina ill motives ndani yake
 
Last edited by a moderator:
aka miss kauzibe? lol. Safiiiii. Aisee utafiti atamuweka bize manake akiona ishu yako unafanya kwa siri lazima akuumbue.

Nilipitiwa nikamkonyeza mtu flani hivi ( Arushaone) mbiooo kamuita OS na akanisemea kwa mkewe. Basi tu OS mvumilivu, azawaissssss....

Karucee I want to be the friend you fall hopelessly in love with. The one you take into your arms and into your bed and into the private world you keep trapped in your head. I want to be that kind of friend. The one who will memorize the things you say as well as the shape of your lips when you say them. I want to know every curve, every freckle, every shiver of your body.
I want to know where to touch you, I want to know how to touch you. I want to know convince you to design a smile just for me. Yes, I do want to be your friend. I want to be your best friend in the entire world. I love you!
 
Last edited by a moderator:
hahaha umenifanya nicheke kwa sauti mopk naonekana kama chizi,ngoja nikupe umbea kidogo though hayanihusu miss nedyy sasa hivi yupo busy na utafiti,hii nimekwambia kimya kimya so na wewe usimwambie mtu wala usiseme kwa nguvu

hahahaha Mndengereko stay tuned naandaa makombora yangu kwako na kwa wote uliowapa mtama
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom