Dating

Dating

Niko salama kabisa dear
Miss you more Tized ameishiwa bundle kwa sasa anatumia kinokia torch Ntuzu bado anamfuatilia yule simba aliyetaka kumtafuna kule porini anataka kulipiza kisasi Mndengereko mhindi wake siku hizi anamchunga hampi hata nafasi ya kuingia JF gwijimimi mhhhh:shock::shock::shock:
Karucee mkuu inabidi atueleze iweje apotee kiasi hicho kawa adimu kama Excel au ana lake jambo na Tized?? wanahare the common interst maana wote wamepote ghafal jamvini nw Karucee karudi utamuona Tized nae muda si mrefu anarudi
 
Last edited by a moderator:
Am fine my love, wewe je?
Miss you guys.
Tized, Ntuzu, gwijimimi, Mndengereko. Mumejificha wapi?
Miss_you_more_than_I_can_say_Tidbits_Freebie.png
 
Last edited by a moderator:
Niko salama kabisa dear
Miss you more Tized ameishiwa bundle kwa sasa anatumia kinokia torch Ntuzu bado anamfuatilia yule simba aliyetaka kumtafuna kule porini anataka kulipiza kisasi Mndengereko mhindi wake siku hizi anamchunga hampi hata nafasi ya kuingia JF gwijimimi mhhhh:shock::shock::shock:

Teh Teh Teh Teh

Mr Rocky how you my friend? It has been long time dude?! Lkn Pouwa Namshukuru MUNGU mi niko Pouwa!

Simba we Acha tu Mkuu!
 
Salama kabisa mkuu Ntuzu
Long time sana aise sijakusikia
Naamini yote ni mema na Mungu anatangulia katika yote
Hahahahahah simba wacha tuu ni shidaaa
 
Last edited by a moderator:
Niko salama kabisa dear
Miss you more Tized ameishiwa bundle kwa sasa anatumia kinokia torch Ntuzu bado anamfuatilia yule simba aliyetaka kumtafuna kule porini anataka kulipiza kisasi Mndengereko mhindi wake siku hizi anamchunga hampi hata nafasi ya kuingia JF gwijimimi mhhhh:shock::shock::shock:
hahahaha. lol. Ngoja waje. Mi simo aisee:rapture:
 
Salama kabisa mkuu Ntuzu
Long time sana aise sijakusikia
Naamini yote ni mema na Mungu anatangulia katika yote
Hahahahahah simba wacha tuu ni shidaaa

KWELI Mkuu kitambo sn!

Mwanangu ila mwanadamu Ni jasiri sn hasa anapokua ktk Hali ya atari ujasiri huongezeka sn!
 
Last edited by a moderator:
hahahaha. lols.
Karucee mkuu inabidi atueleze iweje apotee kiasi hicho kawa adimu kama Excel au ana lake jambo na Tized?? wanahare the common interst maana wote wamepote ghafal jamvini nw Karucee karudi utamuona Tized nae muda si mrefu anarudi

Same here hun 🙂

hahahahah Ngoja aje my sweetheart akujibu. Mi nawaogopa wa Rchuga.
Mkuu Mndengereko hawa ni waarabu wa pemba wanajuana kwa vilemba vyao huyu Karucee nna Tized mambo yao yaache tuu mkuu

utachezea makonzi hivyooo. i may be short but i can run!
sure mkuu ngoja tuwaache.diamond huwa anasema tuwaache wafanyaje???....

Nashukuru rafikiii. Nakutakia weekend njema.
Mamy Karucee mi nipo sn swahiba wng!
 
Back
Top Bottom