nimekuelewa mkuu, nilitaka kushangaa kuwa uswahiba wetu umekwisha.
Mkuu @mtoto halali na hela uswahiba hauwezi kuisha kwa namna yoyote mkuu ni utani tuu wa kawaida aise
hahahaha. lol. Ngoja waje. Mi simo aisee:rapture:
Wamekuja wote na wameufyata hawawezi kuongea lolote
KWELI Mkuu kitambo sn!
Mwanangu ila mwanadamu Ni jasiri sn hasa anapokua ktk Hali ya atari ujasiri huongezeka sn!
Kabisa mkuu Ntuzu mwanadam akiwa kwenye hatari yoyote ana uwezo wa kufanya lolote la kijasiri sana
Little brother kwenye nini maana tunamjua Tized long way to back akiwa anakupenda sasa huo ulittle brother huo mhhh