Dating

Dating

mi sina wasiwasi mkuu i knw lipi tui ipi maziwa,najua ukweli wao hawa niliwabamba somewhere

Mkuu Mndengereko umeona eehh haya mambo ya kuambiwa huyu ni little brother naghafla bin vuu unakutana nao corner mbaya haya yafe bana
Huu ulittle bro ata Mimi Leo Karucee ananichanganya! Maana Siku moja ndugu yng OLESAIDIMU Karucee kamkataa hivi hivi Na kumng'ang'ania Tized

Karucee tuambie Vzr!

Mkuu Ntuzu bora useme na OLESAIDIMU nae aje hapa maana nae amepotrea ghafla

Hamna bwana eee umewaza mbaliii. Lo! siamini. lols!!
Karucee sijawaza mbali niko hapa hapa nakuangalia tuu uniambiae wazi bana
 
Last edited by a moderator:
miss neddy alinisingizia kuwa mimi na OS tumeadimika ghafla na tumerudi pamoja.

Sasa mnaposema na Tized nae hivyo hivyo the equation equals to? lmao!
nilijua tu lazima uombe support ya miss neddy by the way ndo nilikuwa niko mbioni kukwambia tafta mtu aje kukusaidia. na pia usifanye analysis/conclusion ya current issue kwa kutumia past experience ile kesi nyingine na hii nyingine,hahahaha hutoki leo tafuta kisingizio kingine.
 
Last edited by a moderator:
Hamna bwana eee umewaza mbaliii. Lo! siamini. lols!!

Hamna, wanakupotosha haooo. Alikuwa anani...?? hahaha. Malizia basii

Wapi hapo? Toa evidence.

hahaha. Mamamiaaaa. Umeamua kumuita troublemaker OS?? Ngoja nitafute pa kujificha. lols.

Ole unsmuona Leo Karucee anavyokuita? ETI TROUBLEMAKER!! KWELI Tized kamteka sn Huyu Karu!
 
Last edited by a moderator:
oh yesss!
umeamua uendelee kunitishia simba wa kuchora eehh!!!
miss neddy bwana unaweza kushangaa. Unaweza expect atakupa support akaharibuuuu. Kwa kweli hatabirikagi!
nilijua tu lazima uombe support ya miss neddy by the way ndo nilikuwa niko mbioni kukwambia tafta mtu aje kukusaidia. na pia usifanye analysis/conclusion ya current issue kwa kutumia past experience ile kesi nyingine na hii nyingine,hahahaha hutoki leo tafuta kisingizio kingine.

hahahahahah. Lazima nichezee nakos. Mungu asaidie awe bizeeee asije leo wala kesho.:israel:
Ole unsmuona Leo Karucee anavyokuita? ETI TROUBLEMAKER!! KWELI Tized kamteka sn Huyu Karu!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
oh yesss!
miss neddy bwana unaweza kushangaa. Unaweza expect atakupa support akaharibuuuu. Kwa kweli hatabirikagi!

hahahahahah. Lazima nichezee nakos. Mungu asaidie awe bizeeee asije leo wala kesho.:israel:

Khe Khe Khe Khe utaomba ardhi ichimbike akija TROUBLEMAKER!
 
Last edited by a moderator:
oh yesss!
miss neddy bwana unaweza kushangaa. Unaweza expect atakupa support akaharibuuuu. Kwa kweli hatabirikagi!

.
hahaha umenifanya nicheke kwa sauti mopk naonekana kama chizi,ngoja nikupe umbea kidogo though hayanihusu miss nedyy sasa hivi yupo busy na utafiti,hii nimekwambia kimya kimya so na wewe usimwambie mtu wala usiseme kwa nguvu
 
Last edited by a moderator:
Borthers Mr Rocky, Mndengereko and Ntuzu am back now!!!!!

I hate bone breaking activity but this Karucee woman will land me in the same activity i hate most!!!!
nashkuru mkuu umekuja ngoja nimuangalie Karucee kama ataendelea na porojo zake au atasizi kidogo baada ya kukuona umekuja maana ulikuwa offline alikuwa anatmba sana hapa!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom