Voda napata GB 1.2 kwa wiki na nyongeza ya dakika 100 voda kwenda voda na dakika 30 mitandao yote na sms 500 japo nahisi situmii hata mojaMie GB 1.5 za tigo zinanitosha sana kwa sababu sio mtu wa kuangalia angalia video sana,huwa naperuzi mara nyingi
Nazipata kwa sh 5000 tu kwa week
Mimi nazipata kwa 1500Mie GB 1.5 za tigo zinanitosha sana kwa sababu sio mtu wa kuangalia angalia video sana,huwa naperuzi mara nyingi
Nazipata kwa sh 5000 tu kwa week
Kupitia menu ipi?TTCL
2gb - 2,000 Tsh / wiki 1
3gb - 2,500 Tsh / wiki 1
5 GB - 5,000 Tsh / mwezi 1,
*150*88#Naomba nisaidie menu... nimeshapata line ya halotel nataka nijiunge.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ss tigo vifurushi vyao ni ushuzi mtupu yn wamebadilisha kila kitu natamani kuitupa chooni laini yao haina mana yyte, yn apa kilichobaki ni mazoea tu ila line hamna, na kwa bundle za kisenge km hz wasahau km ipo cku ntajiunga kwa line yao maamaeeMimi nazipata kwa 1500
Km utajiunga kupitia halopesa pga*150*88# af 3 kisha mega bando Zen unachagua km wiki siku au mweziNaomba nisaidie menu... nimeshapata line ya halotel nataka nijiunge.
Sent using Jamii Forums mobile app