Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,508
- 94,624
😂😂 Dah! Wewe wamekuweka kitengo Cha "MUFILISI" na watakufilisi tu! Hebu fanya uje halotel hiyo 5000 utapata gb 7 wiki...Mie GB 1.5 za tigo zinanitosha sana kwa sababu sio mtu wa kuangalia angalia video sana,huwa naperuzi mara nyingi
Nazipata kwa sh 5000 tu kwa week
😂😂😂😂😂😂😂 Dah! Wewe wamekuweka kitengo Cha "MUFILISI" na watakufilisi tu! Hebu fanya uje halotel hiyo 5000 utapata gb 7 wiki...
Sina namna ya kuipata halotel
Wanataka oG hardcopy?? Ukiprint ile softcopy ya mtandaon vip?
Halotel wasumbufu wanataka kitambulisho cha NIDA kwenye usajili,mi nina namba tu
Kumbe naweza kupata softcopy?Wanataka oG hardcopy?? Ukiprint ile softcopy ya mtandaon vip?
ingia website yao upate NIN softcopyKumbe naweza kupata softcopy?
Duh kweli tgo hawaelewek watu wengine wanapata GB2 kwa 1500/weekMie GB 1.5 za tigo zinanitosha sana kwa sababu sio mtu wa kuangalia angalia video sana,huwa naperuzi mara nyingi
Nazipata kwa sh 5000 tu kwa week
Bado ni wajinga tu hawana bei maalum, me nshawakacha
Angalau halotel wako vzr, unapga *150*88# vocha na vifurushi unachagua 1, me huwa najiunga mara tatu cha buku napata GB 3 bac wiki nzma naenjoy tu video, kuperuzi na speed iko vzr tu co hao wajinga tigo.
How much
Hii ni ya University bundle au ya kawaida tuu?Angalau halotel wako vzr, unapga *150*88# vocha na vifurushi unachagua 1, me huwa najiunga mara tatu cha buku napata GB 3 bac wiki nzma naenjoy tu video, kuperuzi na speed iko vzr tu co hao wajinga tigo.View attachment 1347239
Ttcl gb 3 kwa 2500 siku 7.
Siku mb 600 kwa 500.
Bandika bandua siku gb 4 kwa 1000(mb 500 muda wa kawaida gb 3.5 kuanzia saa mbili usiku hadi 12 asubuhi.
Ya kawaida tu
Unatumia mpk unalidhika mm tng wiki iliyopita naangaika na gb3 najiunga cha 1000 mara tatu na mb znaenda slow tu

