Dark days 17/03/20...

Ni muota ndoto...

Anayemtumaini YESU na ndio aliyempa ndoto....

Nikaota watu wengine wakiwafukuza hao waliokuwa wanaiongoza eneo hilo kwa muda mrefu wakawa wanakimbia, nikaona watu wakiwaficha hao waliokuwa wakiongoza ktk mapango na sehemu za kulala wageni...

Nilipoamka nikajiuliza ni wakinanani hao wanaofukuza watu walioongoza kwa muda mrefu?

Na ni kina nani wanaowaficha hao walioongoza kwa muda mrefu?

Bado namuomba Yesu anifunulie zaidi
 
2024/2025 Kuna mambo!!
 
naomba link huko mkuu
 
Tatizo humu JF mnapenda sana hizi story.
Na huwa mnaziamini.

Ila kaa ujue hakuna inside informations zinatolewaga kizembe (hivi tena zinazohusu life za watu wakubwa kabisa).

Eti mtu atiririke kama gazeti hivi, tena kweupe hivi. Hakuna kitu kama hicho.
Hizi informations huwa zinafichwa kwa gharama yoyote ile.
Zikitolewa huwa zinatoka kwa uchache tuu.

Sio mtu anasimulia ya upande A, upande B na upande C yote yaliyofanyika anayajua. Hiyo collection ya hizo taarifa aliiwezaje wakati kila upande unajilinda taarifa zisivuje? Kama sio Utunzi .
Hamtaki ziwe exposed so lazima mine kupinga.

Lkn huyu mpeta mada kafanya kuongezea nyama. Kikichotokea KWA jiwe kilijulikana ni Nini kilifanyika.

Usidhani watz Ni wajinga kiasi we unafikiri.
 
Back
Top Bottom