Dark days 17/03/20...

Ni muota ndoto...

Anayemtumaini YESU na ndio aliyempa ndoto....

Nikaota watu wengine wakiwafukuza hao waliokuwa wanaiongoza eneo hilo kwa muda mrefu wakawa wanakimbia, nikaona watu wakiwaficha hao waliokuwa wakiongoza ktk mapango na sehemu za kulala wageni...


Nilipoamka nikajiuliza ni wakinanani hao wanaofukuza watu walioongoza kwa muda mrefu?

Na ni kina nani wanaowaficha hao walioongoza kwa muda mrefu?


Bado namuomba Yesu anifunulie zaidi
Kwamba vijana wa nkunda wanataka kuifanya nini CCM?
 
Ni muota ndoto...

Anayemtumaini YESU na ndio aliyempa ndoto....

Nikaota watu wengine wakiwafukuza hao waliokuwa wanaiongoza eneo hilo kwa muda mrefu wakawa wanakimbia, nikaona watu wakiwaficha hao waliokuwa wakiongoza ktk mapango na sehemu za kulala wageni...


Nilipoamka nikajiuliza ni wakinanani hao wanaofukuza watu walioongoza kwa muda mrefu?

Na ni kina nani wanaowaficha hao walioongoza kwa muda mrefu?


Bado namuomba Yesu anifunulie zaidi
Raha ya kuvimbiwa ugali. Ukilala unaota ndoto zisizofanana na ukweli. Raha tu.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
NYIKANI SIKIA:
Dunia itapigwa mapigo ya kutisha, bahari na mto Nile vitakauka, jambo litakalopelekea taabu, maji yatapatikana CHANZO Cha mto NILE pekee ambapo ni Tanganyika.
Isaya 19:5-7. Ni hivi:



Baada ya Gharika, Nuhu alizaa watoto watatu.

1.Hamu 2. Yafeth 3. Shemu.
Dunia yote imejazwa mataifa Kutoka hao watatu.

.HAMU kamzaa :
1.Kushi 2. MISRI 3. Put 4. Canaan.

YAFETH kamzaa:
1.Gomeri 2. Magogu 3.Madai 4. Yaani 5. Javani nk.

Shemu akamzaa:
1.Elamu 2. Ashuru 3. Alfaksad 4. Ludi 5. Aramu

MATAIFA YOTE YATAABUBU PAMOJA. Isaya 19:23,24.

Katika siku hiyo itakuwako njia KUU itokayo MISRI na kufika hata ASHURU,

Mwashuri atafika MISRI na MISRI atafika Ashuru. Na wamisri wataabudu pamoja na waashuri.

19:24 Katika siku hiyo Israeli atakuwa wa TATU pamoja na MISRI na Ashuru.

Watakuwa baraka kati ya Dunia.

MADHABAHU MISRI: (Isaya 19:19.).

Katika siku hiyo itakuwako madhabahu katika Nchi ya MISRI Kwa BWANA.

TAFSIRI YA MISRI KIUNABII.

1. MISRI ni mtoto wa HAMU mwana wa NUHU.
2. MISRI ni Nchi iliyopo Africa, usisahau Wana wa HAMU kushi na Canaan, Puti na MISRI ni mataifa ya AFRICA.

3. MISRI ya KIROHO. Tanganyika au NYIKANI. Ufunuo 11:8.

Mji Ule mkuu, uitwao Kwa jinsi ya ''Roho'' Sodoma, na MISRI.
Ikumbukwe kuwa mji wa Sodoma na gomora na Gaza alitawala mtoto wa HAMU aitwaye Canaan alielaaniwa na babaye. MWANZO 10:1-32.

TANGANYIKA au NYIKANI kama sehemu salama ya kukimbilia: (Ufunuo 12:6,14).

JoKA akisubiri MWANAMKE azae Ili ammeze mtoto., MWANAMKE akazaa, mtoto akatwaliwa MBINGUNI.

JoKA akakasirika, yule MWANAMKE akakimbilia NYIKANI ambapo ana Mahali palipotengenezwa na Mungu Ili wamlishe huko muda wa siku Elfu mia mbili na sitini.

MTOTO=YESU,YESHUA,ISSA alienyakuliwa Mbinguni.

MWANAMKE=KANISA,KUSANYIKO la waaminio MUNGU mmoja.

Mahali SALAMA panapoandaliwa kumtunza MWANAMKE au kanisa, wamwabuduo Mungu mmoja ktk siku hizi za mwisho ni TANGANYIKA.

Ufunuo 12:15. NYOKA akatoa maji mithili ya mto ammeze,Nchi ikamsaidia MWANAMKE, ikayameza maji, MTO NILE ukakauka.

Tanganyika akimbiliapo MWANAMKE maji hayatakauka ambapo ndio chanzo Cha mto NILE.

MATAIFA YOTE wamwabuduo Mungu mmoja na Kumkiri YESU kuwa ni Masihi watakuja huku ambapo Mungu amepaandaa special walindwe dhidi ya JoKA. Na huku pekee ndo patakuwa na MAJI.

ABT, KITI CHA U-CEO wa kampuni yetu kutokalika:
Fuatilia Unabii juu ya KAMPUNI yetu, ingia You tube,, manabii wengi wameonyeshwa juu ya Hilo.

Pia imagine Mungu aiandae Nchi yetu kupokea jambo kubwa kiasi hicho amini lazima KUTIKISIKE na KUCHIMBIKE.

Asomaye na afahamu. Amen
.
 
Wakazi wote waishio mji uitwao Bandari salama mmepata neema ya kujiandaa na kujiokoa na yajayo.

Litatokea tetemeko kubwa zaidi ya lililotokea Turkeyo, maji ya Bahari yatatikiswa Nchi kavu itapasuliwa na Kutokea shimo kubwa, maji yatafunika mji wote, haitasalia nyumba juu ya ardhi iliyo salama.

Wana wa Mungu wamepewa majira ya Kutokea dhahama hiyo Ili wajiandae kuhama.

Majira ni:

Tarehe (1-20).

Mwezi: APRIL -May

Mwaka: 2024.

Safety zone: Kuanzia KIBAHA, jumba la ndege.

Source: Tembelea UNYAKUO TV channel Kwa maelekezo zaidi.

NB; Wajinga watachukua hatua maana Bado muda upo, ila werevu, wajuaji, wasioamini, viburi watasubiri yatokee.

Mungu ibariki Nyikani.
AMEN.
 
Back
Top Bottom