Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,324
- 13,885
Exactly that dude never been Dsm RC
But been in the company probably since indepence /commencement of the company
Utakuwa umezaliwa juzi, na uajiona too much know
Exactly that dude never been Dsm RC
But been in the company probably since indepence /commencement of the company
Mkuchika amewahi kuwa rc wa dar mbonaExactly that dude never been Dsm RC
But been in the company probably since indepence /commencement of the company
Asingeweza kujianika kirahisi hivyo, kuna baadhi ya matukio yananifanya nikatae kuwa ni yeye.Huyu yoga ukute ni watch_hundred
Huenda akawa ni mtu wake wa karibu sana, kiasi kwamba anatambua mishemishe zote zilizopo katika ofisi yake nyeti.Asingeweza kujianika kirahisi hivyo, kuna baadhi ya matukio yananifanya nikatae kuwa ni yeye.
HaiwezekaniHuyu yoga ukute ni watch_hundred
lagu-langumaCode ya Mr lagu please na ile ya Luya nimetoka kapa
Ahsante mkuulagu-languma
Hilo nakubaliana na wewe, ila sio mtu mmoja bali ni kundi la watu. Ndio maana anajua yanayoendelea kwenye team zote 5Huenda akawa ni mtu wake wa karibu sana, kiasi kwamba anatambua mishemishe zote zilizopo katika ofisi yake nyeti.
Wee ujui kitu Wala uelewi adhar za paka wew umo umo tu kushangilikia vitu usivyo vijua kwa undani wake born town ataku backfire wee subiriaaAchana nae huyo hana analojua, ndo hawa wezi na wafilisti, hatuwataki wapoteee huko.
Hivi wee una tatizo gan? Mbna uko bitter sana, vipi umeachwaaaa?? PoleeeeeeehWee ujui kitu Wala uelewi adhar za paka wew umo umo tu kushangilikia vitu usivyo vijua kwa undani wake born town ataku backfire wee subiriaa
Km mie.Hamumtaki wewe ukiwa kama nani labda?
Ipi hiyoooo?Una lugha chafu
Vita ni kali, uwezekano wa kumstaafisha mstaafu ni mdogo sana.Hatimaye andiko la Tumia Akili linaenda kutimia. Yule mstaafu sasa anastaafishwa.
Bonge la akili. But CEO atahitaji kuhonga migodi ya dhahabu ili apate pesa ya kupambana na bt na cat'jiwe moja ndege wawili'
(cat + bt)
Ameandikwa wapi ktk hadithi hii? Angalia mkono na mdomo visiponze KICHWA.Mkuchika amewahi kuwa rc wa dar mbona
Late CEO hakupenda kuua ,sema ndio na jina kapachikwaVita ni kali, uwezekano wa kumstaafisha mstaafu ni mdogo sana.
Nasikia kuna komando mmoja akimwambia late CEO kuwa huwezi kuongoza kampuni bila kumwondoa born town. Akaomba apewe kazi ya kumwondoa born town. Late CEO akachelea mwana kulia. Kalia yeye.
Late CEO ni kama alimdharau born town kiuwezo katika medani ya vita. Ni bora angekubaliana na yule komando.
Hongera sanayeaaah nnazo bhanaa.