Dark days 17/03/20...

Hatimaye andiko la Tumia Akili linaenda kutimia. Yule mstaafu sasa anastaafishwa.
Vita ni kali, uwezekano wa kumstaafisha mstaafu ni mdogo sana.

Nasikia kuna komando mmoja akimwambia late CEO kuwa huwezi kuongoza kampuni bila kumwondoa born town. Akaomba apewe kazi ya kumwondoa born town. Late CEO akachelea mwana kulia. Kalia yeye.

Late CEO ni kama alimdharau born town kiuwezo katika medani ya vita. Ni bora angekubaliana na yule komando.
 
Late CEO hakupenda kuua ,sema ndio na jina kapachikwa
 
Back
Top Bottom