Dark days 17/03/20...

I have plan for 2025!

But first we need our returns!! We have lost a lot of money becouse of late CEO! .....

Sawa mzee basi tutaonana!......

New CEO received a note! There is this mzee (minister) in the next wing wants to see you before group general meetings! He says its urgent!

New CEO baada ya kuona jina la mzee, she said okey prepare the meeting i need to hear what he has to say!

So mzee was told, new CEO has agreed to meet him At company general meetings and he was told when and how he will meet the CEO. Alisisitiziwa tu ahakikishe anakuwepo kwenye hiyo meeting!!

Mzee said okey and waited for that day! So the day came new CEO traveled to new company head quators for the general meeting! After breakfast Mzee was told to come and meet new CEO it was a very secret meeting! Unnoticed one!
The meeting was done in a very secret place untrecable!

Karibu mzee! Naona umenitafuta sana!

Yes mwanangu nimekutafuta, and without kupoteza muda Kuna mambo very sensitive nahitaji tuyazungumze! Na hayo nayazungumza kama mimi sio cheo ulichonipa!

Okey! Nambie!

First you should know i know everything that happend last year! I know everything since i am among those who coordinated the plan!

Your in that position today becouse of us!

New CEO akabaki kama anashangaaa! mzee hakuwa na kona kona he was straight foward and very sereous!!

Now nimekuja hapa becouse kuna vitu haviko sawa in this company And ni muda sasa i and others, we want viwe sawa sawa! And it is you whom will make them sawa!!

New CEO akauliza vitugani and HOW?

Listen, tunajua ulitaka kumtoa out of the system mr born town! But this man is smart na anawatu every coner! Including me and others! You cant just get him out of the system with the same people in the system whom adore him and they under his payrole!


Na tunajua nikweli unataka kuendela kuwa CEO of this company until 2030! Tunajua sababu mimi na wenzangu ndio tumekuinvestigate wewe since the first day unakalia icho kiti,

Hata kijana uliyekuwa unamtumia mwanzoni kuimplent plan yako aliyemkamata na kumhoji na kukusanya all info ni mimi even before born town hajaja hapa kwako kuku tisha! Sisi tunajua kiwa Your suporse to be in power up to 2025!! And still that is a plan hakuna kilicho badilika

I know mr born town alikuja hapa akakupa every thing ulifanyia behind the scene! Najua alikutisha sana, And promissed you that kama utafollow his leads you will be in power till 2030, he was lying! I am the one who collected every info in your office!

Hata mazungumzo mliyo yafanya that day mie ninayo yote!! Kila unachokifanya hapa au mjini mimi ninacho! Na lazima born town akipate anakipata kile ambacho mimi nimekisikiliza kwanza kisha na mpatia!!

Unawasaidiz wako wawili hapa acha huyo anaekaa nyuma yako huyo ana note kila unachofanya nakutoa report kwa kijana wangu then inakwenda kwa born town! Tunajua unakula nini kila siku, tunajua unaongea nani kila siku! Hata hii meeting nimeischedule mwenyewe vijana wanaagaika kujua unaongea nani humu ndani saiz waandae report iende kwa mr born town!!

Hapa ninapo zungumza nina acces ya what will happen to you in 2024 sito kuambia leo ! But you have to listen! I am here to help you takedown mr born town!


CEO akawa kama anatetemeka hivi baada ya maelezo hayo mazito toka kwa mzee!

Sawa mzee umekuwa open sana! Kwanza nikushukuru kwakweli, sikuwahi fikiria how powerful you are and sikuwahi kujua how deep your envolved in this company!

ila sasa i have made my decition, i will be the CEO of this company under mr bornntown's leadership! i dont want to mess with that guy any more! If he doesnt want me to be in power as CEO i will step down!! Thats all! Staki ugomvi na huyu mtu!

Okey! Nimekuelewa! Ila unahitaji kulitafakari jibu lako tena, let me ask you!! What if the plan is worse than to take you down from being the CEO? wewe si umefanya kazi na born town? Ujui kuwa huwa kinyongo chake hakiishi? He can smile at you but once you did him dirty he will twice dirty you?

Wewe ulienda msiliba kwa outside investors, and some wamepull out their investment from him! Wako dilema waitng for your next move! Do you know how much amepata loss? Dou you know how much he hates you for that?

Wewe umeappoint baadhi ya watu kwenye office nyeti whom he didnt tell you to do! Unajua ninamna gani amegadhabika??


Trust me! Kuendelea kumsikiliza na kufikiri kuwa mko sawa na ameshakusamehe ni ujinga uliokithiri!! wake up! Your in his trap! Am here niko kwenye cycle yake! I know what he wants from you, when and how!

Na leo hii atakupa jina la mzee tembo Kuwa assistant wako upande wa board! Anataka a close eye on you! Jina utaletewa muda sio mrefu! After this meeting! Kama tutamuacha atambe hivi its wrong. You have the power to do something why unaogopa?? Once and for all let us remember you for taking him down and make the company free!

Sawa mzee nimeelewa but let me ask you this question! Unataka kunisaidia kwenye hili but what will you get in return?

mzee aka mtazama CEO kama sekunde kama 10 hiv kisha akafunguka! I dont want money or anything! I have been in this position since 19s, What i want, is him to rest in hell but i want also you to promise me that after you in 2030, not his son or mr february will be given even a sportlight to become CEO, i want them to never become leaders of this company! Am saying this since this is a war! I will make you the winner but i might not survive this! Am old enough to leave a legacy that will benefit our next generation and not some group of bandits

New CEO akauliza tena, How am i going to do that, when you have said kuwa they are every were! And most of my servant are in his payrole! How mzee? And why will you not survive, if you cant survive how will i survive !

Listen!! I have been in this system for a long time! I, my self also made him who he is today, i know him! Me and my team can coordinate this war very smart! We have a plan, a smart one! We can take him down under a condition of me not surviving the war! Just say your ready and we will initiate it!

Okey!! Mzee naomba unipate muda nitafakari! Then nitakujulisha na asante kwa ushirikiano wako! Mzee akanyanyuka akatoka zake chap and went off his house!!

New CEO akawa kabaki kwanza pale ndani kama haamini alichokisikia!! Msaidizi wake mmoja akaingia na bahasha akamwambia, boss kuna bahasha yako hapa! New CEO akafungua kuisoma akakutana na jina la mzee tembo, kama alivyo kuwa keshapewa hint!! She smailed!!

Mzee alifika kwake then akaenda moja kwamoja kwa ofice yake yaani Home office! akafungua droo ndogo ya meza ya mkono wake wa kushoto! Akatoa simu ndogo aina ya nokia ya batan! Akaifungua nyuma akatoa betri kisha akachukua line kwenye moja ya droo nyingine akaiweka kwenye simu na kuiwasha simu! Akaandika namba flan hivi kisha akapiga! Simu ikwa inaita .....


Unknown: Hellow!

Tanzanite: Tanzanite speaking!

Unknown:Yes tanzanite!

Tanzanite: The facillitator has all the info now, waiting for activation!

Unknown: Good!! Very good!! Did she understand you?

Tanzanite: Yes! She did!

Unknown: Good! Thanks for an update, still am in hospital

Tanzanite: Thanks na ugua pole!!


Mzee akakata simu! It wasa avery short call!

then akaizima simu kisha akachomoa ile line na akatoka mpaka nje ambako kulikuwa na public toilets!! Katupa zile line nasimu then akaflash! Akatoka zake nje!!

*****************************************************

New CEO alirudi kwenye general meeting nikama kukamilisha tu maelekezo but she was not there! She was thinking of what mzee told her! She was worried that labda mzee katumwa na mr born town kuja kumchunguza tena, she didnt know what to do at that point. Haswa akikumbuka maneno na sura ya born town "are you in war with me"

Baada ya meeting, taarifa zilianza kuvuja kuwa mr born town is running the show, new CEO hana analofanya bila kumhusisha born town! some company members wengi wao hawakupenda but they were woried about ugali wao na sio maslahi ya kampuni!

So kundi hilo likaitisha kikao behind the scene kujadili kwanza why new CEO anataka awepo mpaka 2030! Kundi hilo halitaki kabisa kusikia hiyo habari, Lakini pia kampuni nikama haileweki! Imekopa sana hela kutanua uwekezaji lakini uwekezaji ni hewa, bidhaa za kampuni haziuziki, nighali kwa customer na hakuna a well planned recover mode kufanya kampuni iwe strong!!

Maisha ya watumishi na wana wa kampuni yanazidi kuwa magumu, they cant afford three meals per day! Na CEO wala hana time na izo ishu, she is buzy rebranding company name bila kuzingatia hali halisi ya kampuni!!

Lakini pia walijadilli why born town a retired CEO analazimisha kuendelea kuwa kwenye system!! Who is he!! Kwanini ataki kustaafu kama wengine??

Kundi hili likakutana na kundi la team late CEO, shida ikawa wanaagenda moja, lakini wanatofautiana nani awe CEO, agenda yao ni kumg'oa born town na new CEO in 2025, sasa linapokuja suala nani awe CEO mwaka huo shida ndio inakuwa kubwa, kila kundi lina mtu wake!!

So wakakubaliana kuwa suala la who is goin to be CEO waliache kwanza, ila kumtoa new CEO 2025 na born town ndio iwe kipaombele!

They came with a plan! Moja nikuunda a new group under the name of late CEO, hii group ipambane kuchukua u CEO wakampuni in 2025 na group hii itapambana na na mr new culture group na hii group ya new CEO mr born town group ambayo ndio alikuwa late CEO

Group hii itatembelea properganda za late CEO, Maana alifanikiwa kuwakamata customers kibao kwa properganda zake haswa wale aliotokanao ukanda mmoja!

Upande mwingine wa muungano wao wabaki ndani ya born town grop nakuanzisha kampeni ya kuonyesha uovu wa group kwenye kuiendesha kampuni! Baadhi ya members wakachaguliwa kuwa front liners! Kazi yao ni kufanya profile demage ya company leaders ambao wako infavour of mr born town na sio maslahi ya kampuni!

Hawa walijiapisha hata kama wasipopewa urepresentative tena 2025 kupitia group hiyo ya born town haina shida ila kufikia huo mwaka, jambo lao lazima liwe limekamilika! Na wakinyimwa watakwenda kwenye group walio anzisha tayari three years before 2025 CEO elections!!

Born town alipata taarifa hiz, his enemy walikuwa wanaongezeka kila siku! Badala ya kupungua!! So alikua na mambo mawili moja ni ku msimamia new CEO atimize mambo yake and at the same time alipaswa a deal na hili group!!

So Sababu ya connection na resorces alizonazo it was not that difficult for him to control both groups but what he didnt know...

mzee, a close frind to him!! A person whom made him who he is to day!! A person amemsaidia kwenye kumuondoa late CEO, aperson who is running the show behind the scene had a plan for him!!

And the plan is to ensure he is gone gone! Yaani gone kabisaaaa!

So who is mzee and Why mzee is mad at born town?? Who is unknown?? Why is mzee reporting to unknown????

From dark days....... And now Road to 2025!!


Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
Mzee ni mtu wa kusini na mwanayanga na tanzanite ni morani,bado ana hasira na smiling face!
 
Kuna scenes zimenipita naona tu mkikomenti vipengele vyake! Ngoja kwanza ni scroll up kuzitafuta
Hapo chacha
JamiiForums-407979835.jpg
 
Nimenusa vitu vingi sana kwenye hii kitu ambayo lengo kuu ni kuwaandaa watanzania kisaikolojia....Na watakaokuja na hizi topic ni watu kutoka angle mbalimbali na mitandao mbali mbali

Hii ni project ya muda mrefu na kama unaubongo wa kuku huwezi kuielewa ila Watanzania tuwe makini sana sana na tusipokuwa makini tunaenda kuvurugwa..

Kuna force ambayo iko nchi moja ya jirani ndio iko behind hii kitu na lengo ni kumplant mtu kutoka nchi jirani kuongoza hii nchi wakilichukulia advantage ya upepo wa kisiasa..
Nchi mbili jirani ni CIA agents na hii plan inakwenda kuwa excuted from head office hapo jirani...

Kama kweli the Late CEO (kama alivyokuwa blanded humu) alikuwa eliminated basi the one behind the show, ni hao hao with their long term plan, at the end of the day nchi itatekwa na wote tutakuwa mateka...TUWE MAKINI KUSHABIKIA HIVI VITU.....

huyu anayeitwa "Born town" tunaandaliwa tu kisaikolojia na huyu anayeitwa Mzee ambao wengi mmebland kama Mzee wa kusini wanaweza kuwa wahanga ili kuaminisha hizi hekaya kwa watu na watu muanini the mission done..
SKM gang watatumika hapa ila watakuwa overrun maana akili hamna wengi mang'ombe wanaowaza kuishi vizuri tu na jamaa wamepandikiza watu tele miongoni mwao, its long term plan wakichukulia advantage ya ukanda na mfanano wa makabila...

Tuwe makini Tanzania isije kugeuzwa mkoa wa nchi fulani and will be leading from headquater, watu wetu waamke sasa au labda ndio wameshatekwa nao maana wengi wanawaza kula bata na kuishi vizuri mjini tu ila userious na umakini zero....

Huyu anayeitwa "Born town" naye analijua hili si ajabu ndio muokozi wa hii nchi kutoka kwenye hesabu za wale jamaa chini ya yule jamaa "black cat".... Watch out...
Samurai unajitia woga tu hakuna kitu kama hicho.
 
Back
Top Bottom