cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,102
- 181,130
Awe na misheni gan? Si alipashwa live kuwa aache kidomo domo, hakna kampuni ya mpito?Wakuu Late CEO alipokata moto kuna tetesi nilisikia kuwa huyu Past Meridian (PM) hakuridhika kabisa kuongozwa na madam ! Vipi nae ana misheni gani kuhusu Maza??







Heheheheh pambeeeeeh.