Kwenye maisha kuna wakati unalazimika mtoto mmoja kumpoteza. Ndio branch manager alikuwa kijana wa late CEO ila hapo kati alianza kunusa harufu za usalit +kifel mission.
Kumbuka old ceo ndo alimleta kwenye kampuni branch manager akiwa ndogo.
Hapa ilibidi acheze karata achukuwe mwenye faida. Akalazimika kumchukuwa yule muinjirist, mwenye stail yake mjini kwenye 6x6 "the death of cockroach " yaan stail elekezi kwenye biblia, aliekana mkono sio wake

Alimchukuwa kwa sababu 5 tu.
1,Ana ushawishi wa watu
2, he is too talkative
3: elimu anayo so anajua kubalance wasomi na wasokuwa na elimu.
4: anaweza kuwaaminisha watu kuwa 2×
2=5 na wote wajakubali .
5: aliogopa mr born in town kumchukuwa huyu kijana muinjiristi.