miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,409
- 11,053
yaani yoga sijui atamwaga saa ngapi jumamosi, maana nimeshaona vipepeo vyeusi /wasiojulikana wameshauvamia uzi hawataki ukweli wanaona ni ndoto ya mchana mshumaa ulivyoteketea kwenye kampuni na hautakumbukwa asilani.
nimeandaa box la popcorn


wameshupaza shingo kweli wanataka kutulazimisha tuumie kama wao. HaiwezekaniSent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app