Neutral Man ZT
JF-Expert Member
- Sep 5, 2025
- 263
- 478
Alisema Nchimbi anaenda kuwa Rais na Mcherengwa anaenda kuwa Makamu wa Rais,Uhalisia kivipi?
Naam, kasha kuwa waziri wa habari bado kidogo awe ndiyo yule.2030 makonda mh!
Baba yake Mchengerwa amezikiwa wapi? Tafuta historia unaweza kutana inafanana na Mwinyi.Alisema Nchimbi anaenda kuwa Rais na Mcherengwa anaenda kuwa Makamu wa Rais,
Nikamwambia katiba siijui,
Lakini ktk uhalisia katiba inasemaje rais akiwa anatoka Upande mmoja wa muungano Makamu atokee wapi?
Aache kudanganya watu.
Yule Mzee alifia Makkah akiwa kwenye ibada ya Umrah, hivyo alizikwa Saudia, ila hilo haliondoi uwezekano wa kuwa na yeye ni Amii Jei (kwa sauti ya Joti)Baba yake Mchengerwa amezikiwa wapi? Tafuta historia unaweza kutana inafanana na Mwinyi.
Pale kwa madelu au 2030Naam, kasha kuwa waziri wa habari bado kidogo awe ndiyo yule.
2030Pale kwa madelu au 2030
Kusahau sio rahisi,kuna watu bado wana viatu na nguo za marehemu ndani"In short"
"6"
👉"Mr guys" kaigizwa kingi...... He is there to end his dream
Ya 2030, and being thanked for his cooperation when he was a finance minister for what he did!
👉CEO and Mr born town are now officially "partners" but born town is still the TOP
👉"Mr mbiinchi" betrayed his friends and the plan to end born town legacy and removing CEO 2025
👉the betrayed are left speechless, it will take time for them to heal, speak or do anything since wooote wako chini ya uangalizi mkali na wengine wako under house arrest
👉An army inside the army, established in 2017, sasa limekuwa rasmi, Lina parmanet leaders na linaoparate off grid but using the name of official army. Lina nguvu kuliko the official, and their main objective is terminate any one against CEO and BORN TOWN
👉Mzee na watu wake wamekuwa very smart, Walianza upyaaaa, kete zinasukumwa kimya kimya, there is a surprise coming not soon but have faith
👉Born town son is your next CEO unless they decide differently
Yako mengiiiiiiii mno sijui hata nifupishe vip, SEMA tu
Wateja jiandaeni Kisawa sawa, kwa sasa Wanasema Bado miezi 2 tu Kila kitu kitakuwa sawa mtasahau kabisa.
😂😂
Sema bila kuwa na mfumo imara (check and balance ) hata huyu atakua wasted tu2030
February 20!!!Wateja jiandaeni Kisawa sawa, kwa sasa Wanasema Bado miezi 2 tu Kila kitu kitakuwa sawa mtasahau kabisa
Kwa hiyo kule Rufiji ni umamani kwao?Yule Mzee alifia Makkah akiwa kwenye ibada ya Umrah, hivyo alizikwa Saudia, ila hilo haliondoi uwezekano wa kuwa na yeye ni Amii Jei (kwa sauti ya Joti)
kuna maneno hapo ungeandika kwa herufi kubwaUkiishi vizuri na Watu utakuwa salama na kupata ulinzi wa kuaminika.
Babu wa Ngasom, chakula hataki kupikiwa na yeyote yule zaidi ya mke na watoto, si walikuwa wakimcheka Jiwe kupikiwa na mkewe,
Halafu imekuwaje yule Bibi wa mipasho moyo wake umetanuka, presha juu juu, vyakula anakula vya kuchangua kwa torch, hata akisimama kwenye microphone akiwa anaongea anahema balaa,
Yapi tena hayo mkuu?kuna maneno hapo ungeandika kwa herufi kubwa