Dark days 17/03/20

Watu wanataka kuambiwa kama Mange " Watanzania hii game tutashinda, Trust Me" fvck this lady
Ulitaks aseme waTZ mtakufa?
Kuna mtu alijua plan ilikua shoot to kill??
Hakuna ubaya kuwa postive
Pia kila mabadiriko yana postivr na negative effect....
Change is inevitable
Huw? Mi sijui
Ila wakati ukuta huwezi kushindana nao!
 
Uko sahihi kabisaa, limedhihirishwa hilo jana.
Inaogopeshaaa
 
Ulitaks aseme waTZ mtakufa?
Kuna mtu alijua plan ilikua shoot to kill??
Hakuna ubaya kuwa postive
Pia kila mabadiriko yana postivr na negative effect....
Change is inevitable
Huw? Mi sijui
Ila wakati ukuta huwezi kushindana nao!

Mimi nimeongelea hapa, kwasababu Yoga anatoa info. za the otherside, na yanayo endelea.

Sasa kuna watu wanataka kusikia wanachotaka wao kama anavo sema mange wakati sio uharisia.

Mm mwenyewe ni pro - mabadiliko lkn the fact ni kua we must be ready to Die in order to stop SSH otherwise tufanye mambo mengine.
 
Ila shost unajua kutupa ya jikoniiiii, japo inaumizaa, ila wee tupee hivyo hivyo sasa tutafanyajeee?/
😢😭😢😭
 
Sawa sawa
Acha aue nchi nzima basi 😄
lets wait and see
 
Nimekopi kwa mtu hapa Jf

Tangu zamani kanisa kuu lilisimamia "transition ya Tanganyika kuwa Tanzania"ndio maana lilimuandaa Burito kambarage nyerere aisimamie hiyo transition!

Sio ajabu Tena kanisa kubwa likimtumia Tundu antipas kufanikisha Tanzania mpya kupitia slogan"no reforms no election"na kweli wamefanikiwa coz mwitikio umekua mkubwa sana Hadi CNN, BBC and co wamepata Cha kuripoti jana na nyie mmemuingiza mtegoni Kwa kumpa matumaini hewa!!

Hayati chuma hakufikia viwango hivi vya kuvuka mstari alipoingizwa mtegoni kama boss lady wa sasa!

Kinachosubiriwa ni transition TU kuelekea Tanzania mpya!coz TEC wamecheza karata zao na mtuhumiwa kakiri kwamba"ilibidi nguvu kubwa itumike ili kuiokoa serikali dhidi ya mapinduzi"hiyo ni kukiri kwamba ilibidi atoe order ya mauaji ya waaandamanaji,kimedani amehalalisha kushughulikiwa kimedani yaani kakiri wazi yeye ni muuaji na alitoa order ya kuua na hao majeshi ya nchi jirani ni yeye aliyaingiza Ili kuua raia wake mwenyewe!

Kifupi ni kwamba kitima ametumika kumuingiza kingi ili vikosi kazi vya kimedani vitumike kumaliza kazi!!

No reforms no election ulikua mtego wa kumuingiza kingi afanye mauaji na mauaji yanahalalisha due process elewa neno due process!!

Nasubiri!
 

Hahahaha.

Hayo mambo yenu angalieni sana, Shake well before use.
 
Unaeleweka, mtego ulikuwa wazi sana
 
Vikosi kaz vya kimedani viingie kazini noma sana … hap ndio unasikia kitu inaitwa
To endure as a tyrant,
you need to do more than build a movement. You need to be the movement.
 
Umenitisha kiongozi!
 
Mmh
Im still figuring out....
Mbona km.mengine yanagoma?
KWamba aliyeko jela ndo alikuwa anafanyiwa km mchonga?

Anyway ngoja nisome maoni ya wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…