Dark days 17/03/20

Bongo tumechoka Amani , viongozi na Raia Wanataka kunyukana tunaona wenzentu Sudan , Congo na Somalia wanafaidi haya ngoja yatukute.
 
So watu wafanye nini?
 
Kwa hiyo???
 
Mkuu umeanza kutupanga, Dotto Biteko na magufuli hawana undugu wowote, Wala hawakua poia na urafiki wala ukaribu wowote.
 
Hili la watu kuanza kutekwa wakati wa magufuli si kweli. Watu waneanza kutekwa toka zamani, mwandishi Stan katabalo alitekwa na kupotezwa baada ya kuandika habari za loliondo
 
mahema yameandaliwa kwa ajili ya nani kwenye hizo kambi?
 
asylum for all kakis and their famillies living in the society, they have been told to live in those hemas from first Dec till further notice since their intelligence told them their the target!!
Bahati nzuri watanganyika wa sasa sio wa miaka ya 60 huko, hawa hawaogopi kifo, kawataarifu kina Kizimkazi hatutarudi nyuma.
 

Hii code ya kaki imenitos mchezoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…