Mwenye kiwanda ni Jeuri na umri umemtupa mkono team babu wapunguze papara watulie wanaweza kuwin hii game Team babu wanakosa MastermindKumbe ujanielewa kipenzi sasa Narudia Tena na uwe na asubuhi njema
YEYE amesema hataki Tena kuwa HRO wa kiwanda!! ila YULE anesemekana ndio mmiliki wa kiwanda amesema hakuna kuacha akae hapo hapo apewe kiti Cha UHRO wa kiwandani na amesisitizs YEYE atangazwe sooon!!
Na amesema kuanzia leo watadhubiti mgomo kiwandani!!
YEYE atatangazwa sababu YULE amesema, na tayari bwana mtangazaji anayomatokeo ya YEYE.
Team babu wako wanapanbana kuanzisha phase two!
Kama plan zao ndio hizi, washapoteza game mapema kabisa.Mwenye kiwanda ni Jeuri na umri umemtupa mkono team babu wapunguze papara watulie wanaweza kuwin hii game Team babu wanakosa Mastermind
jamii ya kiwandani inaonekana watapata pigo kubwa huyu mwenye kiwanda ndo wakuondoaPoleni!! Ni usiku ila nawaataarifuni
Kwenye hiki kiwanda bwana,,,,, YEYE ameamua anataka kupumzika, YULE mwenye kiwanda anasema hakuna kupumzika na YEYE kaambiwa akae kimya wao wanajua Cha kufanya na hili watalimaliza,
maelekezo ya meshatoka, YEYE atangazwe, despite yooooote yanayoendelea kiwandani!! na apewe nafasi yake kama HRO wa kiwanda!!
Mwenye kiwanda kashauri baada ya tangazo kubandikwa asitokee mtu yeyote wa nwynywi Wala nwyinywiiii,
Sasa team babu nao wanasema wanaenda phase two,
Poleni Jamii ya kiwandani
Team babu wanakosa Master Mind ndo tatizo kubwa bora hata Nkapa angekuepoTeam babu!
Ndo umeanza kunogaKumbe uzi bado unaendelea
Kituo cha mafuta kina thamani sawa na uhai wa binadamu naomba kuuliza?Usichopenda kufanyiwa, usimfanyie mwenzio. Ukidai haki yako ni vyema ukatimiza wajibu. Haki yako isiwe adhabu na kero kwenye haki za wengine. Demokrasia tunaitaka lakini si ya kuturudisha nyuma kwa kidogo tulichonacho. Kama unajiona bingwa wa demokrasia za kuchoma vitu anzeni kuchoma kwa mabingwa wa Demokrasia huko Marekani halafu muone moto wake. Siku zote Simba akilala usidhani ni nyau.🙏
Tukijenga utaratibu wa kuheshimiana hatuwezi kuulizana maswali ya hivi. Haya unayosema ni matokeo ya asiyefunzwa na Mama yake anafunzwa na Walimwengu.Kituo cha mafuta kina thamani sawa na uhai wa binadamu naomba kuuliza?
Unaamini kila mama huwa na mafunzo ya maana?Tukijenga utaratibu wa kuheshimiana hatuwezi kuulizana maswali ya hivi. Haya unayosema ni matokeo ya asiyefunzwa na Mama yake anafunzwa na Walimwengu.
Hii mbona haimo kwenye script za yoga?....kwake....
Who is babu?Team babu wanakosa Master Mind ndo tatizo kubwa bora hata Nkapa angekuepo
She means BT and Big madam in the office!Who and who?
Babu hatuwezi kumtaja kwa maslahi ya nchiWho is babu?
Moyoni kuna sauti inaniambia hivyo,Hii mbona haimo kwenye script za yoga?
Sawa ngoja tuoneNdo umeanza kunoga
Wale waliokua wanaangalia mpira nini?Unaamini kila mama huwa na mafunzo ya maana?
Waliofanya Yale ya mji mwema mwanza ndiyo mafunzo ya mama zao ili wawe walimwengu wa kuwafunza watoto na vijana wadogo?
And who is 'BT"?She means BT and Big madam in the office!