Dark days 17/03/20

Aisee
 
Ukiangalia wengi wanaojifariji humu ni wale kenge walitusumbua kila siku kuwa watazuia uchaguzi ila baada ya Mambo kuwaendea vigumu wamekaa pembeni kuomba ujinga ujinga utoke never ever Chama chenu ndiyo hivo kimeshakufa jiandaeni kuhamia kwingine
wengi wao wamekimbia kilimo kijijini na wamefikia mjini hawana kazi wanaishi kwa HISIA kwamba kila mwenye hela ni mwizi. Hakuna hela za kushuka kama mvua hata atawale nani.
 
Illusion... Mambo ya kufirika na kuunga dots
 
yoga ,siyo kwa ubaya, unaonekana unaunganisha nukta. Jaribu kuunganisha nukta hizi:

1995: Uchaguzi wa kumtafuta mgombea urais kupitia CCM, Born Town alishinda lakini Nyerere aliingilia kati akapewa Mkapa.

1999: Nyerere anafariki.

2015 :Uchaguzi wa kumtafuta mgombea urais kupitia CCM ulitaka kukisambaratisha chama coz of chaguo la Born Town. Mkapa akaokoa jahazi! Akatokea Magufuli ambaye hakuwa chaguo la Born Town!

2020 : Mkapa anafariki.

2021: Magufuli anafariki.

yoga , toa neno kuhusu hizo nukta!
 
Ni mkwe wa mzee wa msoga...awezi kuigusa familia yake...ili wajukuu wabaki yatima😅😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…