Eagle Trader
JF-Expert Member
- Jun 26, 2025
- 633
- 707
Yoga amekua msanii analeta mambo ya mitano tenamkuu ni rahisi kutell a story ukiangalia nyuma na kuziunganisha wakati jambo limeshatokea , kwa sasa informer mwenye unafauu ni TA , yoga ni mtaalamu wa kuunga dots. *inshort Trust no one mpe 50% zengine 50% kaa nazo .
Hata TA naye ni kama hakuna kitu nchi hii born town anaonekana yuko mbele ya wakati sana, hata akiamua nchi ibadilishwe jina iitwe Kikwete sidhani kama kuna mtu wa kumzuia. Ifike hatua tuache hata kuambiana habari za Deep State. Kama wangekuwepo kwa maslahi mapana ya taifa sidhani kama huu upumbavu wangeruhusu ufanyike.mkuu ni rahisi kutell a story ukiangalia nyuma na kuziunganisha wakati jambo limeshatokea , kwa sasa informer mwenye unafauu ni TA , yoga ni mtaalamu wa kuunga dots. *inshort Trust no one mpe 50% zengine 50% kaa nazo .
August august august!Hata TA naye ni kama hakuna kitu nchi hii born town anaonekana yuko mbele ya wakati sana, hata akiamua nchi ibadilishwe jina iitwe Kikwete sidhani kama kuna mtu wa kumzuia. Ifike hatua tuache hata kuambiana habari za Deep State. Kama wangekuwepo kwa maslahi mapana ya taifa sidhani kama huu upumbavu wangeruhusu ufanyike.
Uongo mtupuAugust august august!
Edmond mystic
Hakuna kila kituAugust august august!
Edmond mystic
Inakera sana. Humu kutiana moyo tu kua blablaaa basi. Ukweli mgumu sana kuumeza na watanzania wengi hawautaku maana unawaumiza. Deep state ukute ni ka kikundi ka wajomba flan wahuni makada wa kijani.Hata TA naye ni kama hakuna kitu nchi hii born town anaonekana yuko mbele ya wakati sana, hata akiamua nchi ibadilishwe jina iitwe Kikwete sidhani kama kuna mtu wa kumzuia. Ifike hatua tuache hata kuambiana habari za Deep State. Kama wangekuwepo kwa maslahi mapana ya taifa sidhani kama huu upumbavu wangeruhusu ufanyike.
Mene mene tekeli na peresi.Hakuna kila kitu
Katafute ya mjini mkuuMatango pori ni mengi humu
Aisee RESILIENT KATOTrust me, it won't be what u wish now but letter on it will... π Don't be confused with all these dramas, usije sema sikukiambia!! Tatizo hamuwajui vizuri hawa watu they are very good at maigizo!! December sio mbali
Mungu amlinde na kumuepusha na mauti Mungu wa haki isimame na kuipigania haki ya kuishi ya huyu Baba hiyo mipango yao ifutike kwa Jina la Yesu Kristo... nakumbuka pia kuna mahali yoga alisema kijana msema sana anaandaliwa mauti na safari hii itaonekana kama natural deathHii post ya kwanza kabisa ya Lissu naona wameifuta. πππ
Naomba maombi yangu yawe pamoja na yako AmeeenMungu amlinde na kumuepusha na mauti Mungu wa haki isimame na kuipigania haki ya kuishi ya huyu Baba hiyo mipango yao ifutike kwa Jina la Yesu Kristo... nakumbuka pia kuna mahali yoga alisema kijana msema sana anaandaliwa mauti na safari hii itaonekana kama natural death
Mungu ulie hai mkono wako haukupunguka hata usiwaze kuokoa ninaomba samehe dhambi yake na maovu yake yote mkumbuke Bwana, mlinde asipate madhara, kifo kabla ya wakati tunakataa kwa Damu ya Yesu Kristo
Amen amenMungu amlinde na kumuepusha na mauti Mungu wa haki isimame na kuipigania haki ya kuishi ya huyu Baba hiyo mipango yao ifutike kwa Jina la Yesu Kristo... nakumbuka pia kuna mahali yoga alisema kijana msema sana anaandaliwa mauti na safari hii itaonekana kama natural death
Mungu ulie hai mkono wako haukupunguka hata usiwaze kuokoa ninaomba samehe dhambi yake na maovu yake yote mkumbuke Bwana, mlinde asipate madhara, kifo kabla ya wakati tunakataa kwa Damu ya Yesu Kristo
Hata mimi naamini hivo, maana anasubiri mambo yatokee halafu ndio aje kuyasimulia kwa kuunganisha dots ambapo inakuwa ni sanaa ya kuunda scripts tuu! Ila namuheshimu kwa kuwa uwezo wa kuunda mtiririko wa visa na mikasa yenye kusisimua!Yoga Hamna kitu anachojua,kiufupi ni mpiga ramli tu