Mimea tiba kupitia mimea ya majumbani

Mimea tiba kupitia mimea ya majumbani

ACACIA NILOTICA

Kisayansi huitwa “Vachellia Nilotica” Majina mengine ya Acacia nilotica ni “Kikar”, “Acacia Arabica”, “Babhul” au “Babool”

🪴Acacia nilotica ni mmea wenye mwavuli ulioundwa kama taji na matawi ya chini, ambayo mara nyingi hutawanyika.

🪴Mmea huu hukua hadi urefu wa mita 3 hadi 5. Acacia nilotica ina matumizi mengi ya matibabu. Acacia nilotica hutumiwa sana katika dawa ya jadi asili.

🍃Mmea huu una shughuli za kupambana na:- Microbial, Anti-plasmodial na antioxidant na hutumika kwa matibabu ya virusi vya vya ukimwi (VVU), virusi vya hepatitis C na saratani.

🍃Katika nchi nyingi za kitropiki zimekiwa zikitumia mmea huu kutibu:-
📌Magonjwa ya zinaa,
📌Kichefuchefu,
📌Vichomi na majeraha,
📌aumivu ya tumbo na kuhara.

🪴Majani ya kuchemsha ya mmea huu hutumika kwa kuponya:-
📌Maumivu ya kifua
📌Pneumonia (nimonia),
📌Kutokuwa na nguvu
📌Magonjwa ya kifua,
📌Homa,
📌Malaria,
📌Maumivu ya kichwa,
📌Kikohozi,
📌Maumivu ya viungo
📌Maumivu ya mgongo,
📌Vidonda vya tumbo.

🪴Maganda safi ya acacia nilotica yanafaa katika shida za kijinsia kama vile
📌Spermatorrhoea,
📌Kupoteza wa manii na
📌Kutoka mara kwa mara usiku.
📌Inazuia kumwaga mapema (pre-ejaculation)
📌Kupunguza kuwasha kwa kisonono na leucorrhoea,
📌Shida ya mkojo kama vile pelvic prolapse.

🍃Mmea huu una components za bioactive kama vile
💊Gallic,
💊Eleagic Acid,
💊Isoquercetin
💊Leucocianidolum
💊Kaempferol 3, 7-diglucoside
💊Glucopyranoside
💊Rutin
💊Derivatives za (+)-catechin-5-gallate, apigenin-6,8-bis-C-glucopyranoside,
💊m-catechol na derivatives zake

🍃Imeonyeshwa kuwa sehemu tofauti za acacia nilotica zina
💊Tannins,
💊Asidi ya stearic,
💊Asidi ya ascorbic,
💊Carotene,
💊Protini, nyuzi, arabin,
💊Madini kama vile Ca, Mg na seleniamu.

🍃Mmea huu una tannins na steroids zilizo na ufanisi katika kuboresha POP na kuondoa ugonjwa wa vaginal relaxation syndrome (VRS).

Mdharau asili hufa kikatili
1753862611616.jpg
 
Huu mmea kisayansi unajulikana kama “Thevetia peruviana” au “Cascabela thevetia” ni miongoni mwa mimea yenye sumu lakini ni dawa.

Ni miongoni mwa mimea bingwa kwa kutibu shida nyingi za ngozi —ni mmea wenye nguvu kubwa ya kufuta kabisa saratani (cansa)

Wekeni Likes za kutosha niwaletee somo

Mdharau asili hufa kikatiliView attachment 3417197
Nasubiria hii
 
Laiti kama waafrica tungejali asili zetu—huu mmea usingeruhusiwa kufyekwa na kukatwa kama magugu, familia nyingi zingekuwa na bustani kubwa za huu mmea. Ni dawa kuanzia mizizi yake, majani yake, maua yake, matunda yake hadi mbegu zake😊 Ni miongoni mwa miti dawa muhimu zaidi.

Unajulikana kama Sodom apple, jina lake la kisayansi ni “Solanum incanum” hapa Tanzania maarufu kwa jina la mtulatula.— ni mmea wenye uwezo wa kushusha kisukari kwa muda mfupi zaidi, ni mmea uliojipatia umaarufu mkubwa kwa kutibu meno yaliyotoboka.

Hapa ni utangulizi tu somo zima linakuja, wekeni likes za kutosha.View attachment 3421652
Usisahauuu
 
Ukweli wa kushangaza ambao ndugu yangu ulikuwa haujui, ni kwamba; hii gundi inayotokana na mmea wa acacia nilotica, huko Ulaya ni biashara kubwa mno! Kilo moja ya hii gundi inauzwa Euro (€) 60 ambayo kwa pesa ya kitanzania ni zaidi ya Tsh 100,000/-

Ndipo nikashangaa, inakuwaje gundi hii iwe na soko kubwa hivi Ulaya? Bhana eh kumbe hii gundi ni miongoni mwa malighafi wanazotumia kutengenza ARV😆

Gundi hii ina kiwango kikubwa cha “arabinogalactan” hii ni polysaccharides muhimu katika kuongeza kinga ya mwili. Ina utajirii wa Saponins ambayo hupambana sana na virusi.

Ngoja niishie hapa—kama unahitjai kitabu chenya maarifa haya yaliyositirika hakikisha unaweka order yako mapema. Bonge kubwa la kitabu linakuja niko naliandaa mahsusi kwa kuwakomboa waafrika

Mdharau asili hufa kikatili
1753864051446.jpg
 
Dada katakata bamia hata 5 au 4 au 3 kulingana na ukubwa

Zilale kwenye maji usiku kucha kisha kunywa kesho yake kinywaji hicho

Hubalansi homoni
Hutatua tatizo la kukosa hamu ya tendo la ndoa
Hutatua tatizo la UKE MKAVU.

Asili huponya
1753866689204.jpg
 
Mwanamke uliyeteseka sana na matatizo ya uzazi—hebu utafute huu mti wa mkorosho, chukua magome yake, chemsha na uwe unakunywa glass moja asubuhi na jioni.

✅Inasafisha kabisa mfumo wa uzazi (mirija ya uzazi)
✅Inaimarisha mfuko wa uzazi
✅Inasogeza kizazi karibu

Mdharau asili hufa kikatili
1753907918780.jpg
 
HII NI FUNGA KAZI YA MWAKA KWA WAMAMA.

HII UNASHIKA MIMBA HATA KABLA YA KUVUA👙🩲

NI POA KWA WALE AMBAO WAMEACHA DAWA ZA UZAZI NA WANATAKA KUBEBA MIMBA. SAFISHA KIZAZI NA DAMU.

UTAPATA MTOTO ALIYEKUZIDI AKILI ILA SIO MIMI. INAITWA COMBO MIX BY YAS🫵

WEWE TUMIA MIMI SITAKI PESA YAKO🙅 NITALIPWA NA ULIMWENGU

1.Karafuu
2. Mdalasini
3. Limao
4. Swaumu
5. Pilipili manga
6. Tangawizi

Matumizi
Changanya sehemu Moja, twanga na uloweke kwenye maji ya uvuguvugu Kisha ndani ya saa 12 utapata fusion nzima.

Ukiamka asubuhi glass Moja Kisha jioni pata Tena glass ingine.

Fanya hivyo kwa siku 30.

Na kama upo kwenye ndoa utaipendView attachment 3225450a hiyo
Miti shamba matunda na mimea ni muhimu sana kwa afya ya binadamu, ni vile tu tunapuuza.
 
Naombeni dawa asilia ya taifodi na minyoo ya amiba
DAWA ASILI YA TYPHOID (Homa ya Matumbo)

Majani ya mpera

Matumizi: Chemsha majani ya mpera kikombe 1 cha majani katika maji lita 1 kwa dakika 10.

Unywaji: Kunywa kikombe 1 x 3 kwa siku kwa wiki 1–2.

Faida: Yanasaidia kuua bakteria wa typhoid na kutuliza tumbo.

Tangawizi + Kitunguu saumu

Matumizi: Saga vipande vya tangawizi 1 na punje 3–5 za kitunguu saumu, chemsha pamoja.

Unywaji: Kunywa mara mbili kwa siku.

Faida: Ni antibiotic ya asili na husaidia kushusha homa.

Maji ya majani ya papai

Matumizi: Saga majani ya papai mabichi (kiasi cha kikombe ½), changanya na maji ya uvuguvugu.

Unywaji: Kunywa mara moja
kwa siku kwa siku 5–7.

Hizi zote nilizo kupa ni dawa za kutibu typhoid unaweza chagua moja ambayo kwako n rahisi kuipata tumia.

Apa CHINI nitakupa dawa za kutibu minyoo ya amiba nazo uta chagua moja wapo utatumia👇🏾👇🏾

🪱 DAWA ASILI YA MINYOO YA AMIBA (Entamoeba histolytica)

Majani ya mlonge (Moringa)

Matumizi: Chemsha majani ya mlonge, weka limao kidogo ndani.

Unywaji: Kikombe 1 × 2 kwa siku kwa siku 5–7.

Mbegu za maboga

Matumizi: Saga mbegu za maboga mbichi (sio zilizokaangwa), weka kwenye maji ya uvuguvugu au uji.

Unywaji: Kunywa asubuhi tumbo likiwa tupu kwa siku 7.

Faida: Zinasaidia kufukuza minyoo kwa asili.

Kitunguu maji + asali

Matumizi: Saga kitunguu maji 1 kisha changanya na kijiko cha asali.

Unywaji: Mara 2 kwa siku.

Faida: Husafisha utumbo na kuua vimelea wa amiba.

Angalizo

Epuka kula vyakula visivyoiva vizuri (kama nyama za mtaani, matunda bila kuosha).

Kunywa maji yaliyochemshwa au yaliyopitia kwenye chujio bora.

Tumia pia probiotic (mtindi wa asili au yoghurt) kusaidia utumbo.
 
Shukrani sana
 
Back
Top Bottom