4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 6,198
- 7,036
Swali gum kwangu hili mkuu jibu lake sinaHivi Tabasamu kwenye vyama vya siri yuko familia ipi?
Je ana degrees gapi ndani ya Illuminat?
Swali gum kwangu hili mkuu jibu lake sinaHivi Tabasamu kwenye vyama vya siri yuko familia ipi?
Je ana degrees gapi ndani ya Illuminat?
Mwanachama yetote wa "The Club of Rome" huyo lazima huwa ni pia ni wa 'Illuminati" hawa huwa ni watu wenye ushawishi mkubwa katika siasa za nchi zao na za kikanda.Swali gum kwangu hili mkuu jibu lake sina
Thanks mkuu kwa kunielimishaMwanachama yetote wa "The Club of Rome" huyo lazima huwa ni pia ni wa 'Illuminati" hawa huwa ni watu wenye ushawishi mkubwa katika siasa za nchi zao na za kikanda. Hata wakitoka madarakani bado huwa wana majukumu ya kudumu ya kufanya kuendana na matakwa ya wakati ya siasa za nchi zao, za kikanda, na pia hata za kidunia.
Ila kama hutojali mkuu naomba fafanua hapo ,THE CLUB OF ROME, ipo vipi hii, na watu hujiungaje huko ? ThanksMwanachama yetote wa "The Club of Rome" huyo lazima huwa ni pia ni wa 'Illuminati" hawa huwa ni watu wenye ushawishi mkubwa katika siasa za nchi zao na za kikanda. Hata wakitoka madarakani bado huwa wana majukumu ya kudumu ya kufanya kuendana na matakwa ya wakati ya siasa za nchi zao, za kikanda, na pia hata za kidunia.
Ni nani huyu uzi wake haufungukiHuyu jamaa ni mchumi mzuri sana
Huyu jamaa ateuliwe kwenye board nzuri au na awe senior economic advisor to the cabinet and president. Alisomaga Ilboru secondary zamani (1992 - 1995), pamoja na Bunge primary (1991), na Olympio primary (1985 - 1990). Baadae sana anafaa kuwa waziri mkuu, au makamu wa rais, au rais...www.jamiiforums.com
Rufiji si umeona kilichotokea?Bado unabii haujatimia!
Mbona alishasema mwisho wa kuangamia Dar ni tarehe 20 mwezi mei!!?
Tusubiri tuone!!
mbenge shukurani kwa jibu.Mwanachama yetote wa "The Club of Rome" huyo lazima huwa ni pia ni wa 'Illuminati" hawa huwa ni watu wenye ushawishi mkubwa katika siasa za nchi zao na za kikanda.
Hata wakitoka madarakani bado huwa wana majukumu ya kudumu ya kufanya kuendana na matakwa ya wakati ya siasa za nchi zao, za kikanda, na pia hata za kidunia. Mtanzania aliyekuwa na "degree" za juu kidogo ni Mzee wa Lupaso, ila huyu sina uhakika sana naye, ila taarifa za mitandandao ya Kenya zinasema ameshafikia tayari ya kumi.
Kwa mjibu wa nabii wa Unyakuo TV Rufiji hakuitabiria ila ni Dar es Salaam pekee na Sehemu salama alisema ni kuanzia Kibaha.Rufiji si umeona kilichotokea?
Ulipo sema "The Club of Rome" umenikumbusha mbaaali sana, enzi hizo za Gazeti la Tazama, safu ile mwandishi Gideon akiandika maswala ya Freemasons, Gazeti hili sijui lilikufa au bado lipo?Mwanachama yetote wa "The Club of Rome" huyo lazima huwa ni pia ni wa 'Illuminati" hawa huwa ni watu wenye ushawishi mkubwa katika siasa za nchi zao na za kikanda.
Hata wakitoka madarakani bado huwa wana majukumu ya kudumu ya kufanya kuendana na matakwa ya wakati ya siasa za nchi zao, za kikanda, na pia hata za kidunia. Mtanzania aliyekuwa na "degree" za juu kidogo ni Mzee wa Lupaso, ila huyu sina uhakika sana naye, ila taarifa za mitandandao ya Kenya zinasema ameshafikia tayari ya kumi.
THE CLUB OF ROME
Mwongo mkubwa wewe.Ukitembelea Rombo, Marangu, Machame mpaka kibosho hakuna maji ya bomba, umeme bado haujafika na hakuna barabara ya lami mkuu Kilimanjaro hakuna maendeleo kuna walevi tu. Huo ukanda pia kuna kaya hazina choo wanajisaidia maporini.
Angalia hii nilimjibu nani na nilim-quote nani ndo uje urudi hapa. Kuna mtualikuwa anasema kaskazini hakuna maendeleo ndio nikamjibu hivyo.Mwongo mkubwa wewe.
Nafuta kauli na commentAngalia hii nilimjibu nani na nilim-quote nani ndo uje urudi hapa. Kuna mtualikuwa anasema kaskazini hakuna maendeleo ndio nikamjibu hivyo.
HongeraMimi huwa na andika mwenyewe. Si copy na kupaste.
Uzi haufutwi bali uhifadhiwa....!! Hasa kikwazo cha where we dare to talk openly kinapo kuwa hatarishi (Nawaza)!Uzi umefutwa. Futa hii post, ili hii comment ifutike kabisa
Hii page no ngapi mkuu ?
SI mwingine kasema may 2024March si ishapita?
Uko sawa,
Na ndiye ametabiri Mr Tabasamu hatoboi December,
Tusubiri.