vipanda thamani
JF-Expert Member
- Jul 7, 2022
- 567
- 894
Kuna kitu hakikp sawja inawezekana alipost ila kwa sasa nikama hawez post tena maybe aje na account mpya.... unaweza kujaribu kum inbox message haiend ni kama amekuwa blocked ....Ni ngumu Sana kuthibitisha kuwa aliposti,Ila ukimya wa yoga unantisha!
Kama Mods wamefuta Basi JF siyo sehemu salama turudi FB kununua misambwanda na migongo ya dada zetu.





